Gathogo, Ephraim Muiga (Kenyatta University, 2017-09)
Utafiti huu ulilenga kuchunguza mchango wa msimilishaji simulizi katika maonyesho ya filamu kwa kurejelea filamu mbili za Kimarekani ambazo ni; Human Time Bomb na Mercenaries. Utafiti ulinuia kuchunguza namna msimilishaji ...