• English
    • français
  • français 
    • English
    • français
  • Ouvrir une session
Parcourir MST-Department of Kiswahili and African Languages par date de publication 
  •   Accueil de DSpace
  • Master Theses and Dissertations(MST)
  • MST-School of Humanities and Social Sciences
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • Parcourir MST-Department of Kiswahili and African Languages par date de publication
  •   Accueil de DSpace
  • Master Theses and Dissertations(MST)
  • MST-School of Humanities and Social Sciences
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • Parcourir MST-Department of Kiswahili and African Languages par date de publication
JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

Parcourir MST-Department of Kiswahili and African Languages par date de publication

Trier par :

Ordre :

Résultats :

Voici les éléments 1-20 de 234

  • titre
  • date de publication
  • date de soumission
  • ascendant
  • descendant
  • 5
  • 10
  • 20
  • 40
  • 60
  • 80
  • 100
    • Thumbnail

      Maendeleo ya kimaudhui katika tamthilia tano za Ebrahim N. Hussein 

      Mutegi, Mukobwa J. N. (1985)
    • Thumbnail

      Usawiri wa wahusika makahaba katika riwaya za Said Ahmed Mohammed 

      Muindi, Augustine (Kenyatta University, 1990)
      Utafiti wetu unahusu suala la ukahaba katika riwaya nne za Said Ahmed Mohamed. Tunahakiki usawiri wa wahusika makahaba kwa madhumuni ya kubainisha sababu za kuwepo kwa ukahaba katika jamii. Aidha, tunatilii namna ambavyo ...
    • Thumbnail

      Uchanganuzi wa usemi katika sajili ya dini: sifa bainifu za lugha ya mahubiri 

      King'ei, Kitula Osore, Miriam (2001)
      Katika tasnifu hii, tumechunguza sifa bainifu za lugha ya mahubiri kama zinavyojitokeza katika sajili ya dini katika lugha ya Kiswahili. Tumetumia data kutokana na mahubiri mbalimbali na kuyachanganua ili kudhihirisha ...
    • Thumbnail

      Mielekeo kuhusu taarifa va habari: uchunguzi katika mtaa wa Komarock jijini Nairobi. 

      Namulanda, Duncan Kizito (Kenyatta University, 2002)
    • Thumbnail

      Uhalisiajabu katika riwaya ya babu alipofufuka (2001) ya S.A mohamed na bina-adamu! (2002) yA K.W Wamitila 

      Magaju, Jacinta Kagendo (Kenyatta University, 2004-08)
      Utafiti huu umeshughulikia swala la uhalisiajabu katika riwaya teule za fasihi ya Kiswahili. Riwaya zilizohakikiwa ni Babu Alipofufuka (2001) ya S.A. Mohamed na Bina-Adamu! (2002) ya K.W. Wamitila. Nadharia iliyoongoza ...
    • Thumbnail

      Hadithi fupi za kisasa za kisw ahili kama utanzu mahuluti. 

      Mukopi, Lilian Makonjio (Kenyatta University, 2005)
    • Thumbnail

      Uwiano wa picha na matini katika mabango ya matangazo ya ukimwi: mtazamo wa Kisemiotiki 

      Kimani, Hellen Wanjlku (2006)
      Lengo la kazi hii ni kuchanganua uwiano wa maana za picha na matini katika mabango ya matangazo ya UKIMWI kwa kuzingatia tathmini za wapokezi. Watafitiwa ambao walishirikishwa katika utafiti huu waliteuliwa kutoka maeneo ...
    • Thumbnail

      Athari ya duksi katlka ufunzaji na ujifunzaji wa kiswahili: mtazamo wa uchanganuzi linganishi tasnifu 

      Wenyaa, Nasaba Salome (2007)
      Kazi hii imekusudia kuchanganua athari ya elimu ya Duksi katika ufunzaji na ujifunzaji wa sarufi ya lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa mtazamo wa nadharia ya Uchanganuzi Linganishi. Vipengele vya kisarufi yaani abjadi, ...
    • Thumbnail

      Usambamba katlka ushairi-huru 

      Mwania, James M. (2007)
      Utafiti huu umeshughulikia usambamba katika ushairi hum wa . Kiswahili. Lengo la utafiti huu ni kudhihirisha namna mshairi wa kisasa anavyotumia uhuru wake wa utunzi katika kujadili maswala mbalimbali yanayoikumba jamii. ...
    • Thumbnail

      Matumizi ya sitiari katika vitendawili vya abanyala (k): mtazamo unganishi na vitendawiu vya waswahili 

      Meble, Barasa (2007)
      The purpose of the study is to investigate the use of metaphor in the Abanyala and Swahili riddle. The researcher was inspired by the fact that even though the writers and researchers of riddles did a lot in collecting, ...
    • Thumbnail

      Usawiri wa wahusika ka tika dafina ya Umalenga (H.M Mbega) na jiero la ndani (S.A Mohamed) 

      M' garuthi, Timothy Kinoti (2008)
      Utafiti huu umeshughulikia swala la usawm wa wahusika katika mashairi ya Kiswahili. Mtafiti ameyahakiki mashairi teule ya washairi .wawili kwa lengo la kutathmini jinsi washairi hawa walivyowateua wahusika wao, aina za ...
    • Thumbnail

      Tathmini ya Mtalaa wa Isimu Jamii wa Shule za Upili Nchini Kenya 

      Ngugi, Mwangi Boniface (Kenyatta University, 2008)
      Utafiti huu umeshughulikia kutathmini mtalaa wa Isimujamii wa shule za upili nchini Kenya. Utafiti huu ulidhamiria kutathrriini na kuimarisha mtalaa wa Isimujamii katika lugha ya Kiswahili kama chombo cha mawasiliano kwa ...
    • Thumbnail

      Maigizo kama mbinu ya maudhui katika riwaya mbili za Ken Walibora 

      Ochenja, Rajab (Kenyatta University, 2008-04)
      Utafiti huu umeshughulikia maigizo kama mbinu ya maudhui katika riwaya mbili za Ken Walibora. Riwaya zilizoshughulikwa ni Ndoto ya Amerika, (2001) na Kufa Kuzikana, (2003). Utafiti huu uliongozwa na nadharia mseto za ...
    • Thumbnail

      Utohozi fonolojia wa maneno - mkopo ya dholuo kutoka kwa Kiswahili 

      Omondi, Olal Anne (Kenyatta University, 2008-11)
      Kazi hii inatekeleza madhumuni ya kuchambua maneno-mkopo ya Dholuo yanayotokana na lugha ya Kiswahili. Kuwepo kwa maneno mageni yanayoshabihiana na Kiswahili kulizua haja ya kueleza vipi Dholuo inavyoyaruhusu maneno hayo ...
    • Thumbnail

      Dhima ya utawala wa nabongo mumia katika maenezi ya lugha ya kiswahili ubukusuni, Mkoani Magharibi (Kenya) 

      Nakhisa, Andrew W. (Kenyatta University, 2009)
      Utafiti huu umeeleza na kuchanganua dhima ya utawala wa Nabongo Mumia katika maenezi ya lugha ya Kiswahili Ubukusuni, Magharibi mwa Kenya. Utafiti huu ulijikita katika kipindi cha utawala wa Nabongo Mumia tangu kutawazwa ...
    • Thumbnail

      Mabadiliko ya maudhuikiwakati katika nyimbo za harusi za jamii ya waembu 

      Mbogo, Njeru S. (2009)
      Malengo ya utafiti huu yalikuwa kuonyesha j insi maudhui katika nyimbo za harusi miongoni mwa watu wajamii ya Waembu yalivyobadilika kiwakati tangu kabla na baada ya maingilio ya Wakoloni. Aidha, utafiti huu umechunguza ...
    • Thumbnail

      Uamilifu wa Tonisho Katika Sentensi za Kikamba 

      Muinde, Sarah Nthenya (Kenyatta University, 2009)
      Utafiti huu ulitekelezwa kwa madhumuni ya kuchambua na kujadili ruwaza za tonisho katika sentensi za Kikamba, ili kubainisha muundo na uamilifu katika nyanja za sintaksia na pragmatiki. Uchanganuzi ulitegemea mihimili ...
    • Thumbnail

      Maono ya jamii katika tamthilia za Chacha nyaigotti chacha: swala la uongozi 

      Gichuru, Tirus Mutwiri (Kenyatta University, 2010)
    • Thumbnail

      Mtazamo Mpya wa Usawiri wa Mwanamke katika Utendi wa Maisha ya Adamu na Hawaa na Paradise Lost 

      Muli, David Kiamba (Kenyatta University, 2011)
    • Thumbnail

      Taathira ya dhamira kwa mtindo katika hadithi fupi teule za Kiswahili 

      Ntiba, Onesmus Gitonga (Kenyatta University, 2011-04)
      Katika tasnifu hii tumechunguza athari ya dhamira katika uteuzi wa mtindo katika hadithi fupi teule za Kiswahili. Tumetumia diwani one za mwaka wa 2007. Diwani hizo ni Damu Nyeusi no Hadithi Nyingine (2007), Likizo ya ...

      Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
      Contactez-nous | Faire parvenir un commentaire

       

       

      Parcourir

      Tout DSpaceCommunautés & CollectionsPar date de publicationAuteursTitresSujetsCette collectionPar date de publicationAuteursTitresSujets

      Mon compte

      Ouvrir une sessionS'inscrire

      Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
      Contactez-nous | Faire parvenir un commentaire