Kausi, Barasa George (Kenyatta University, 2021)
Utafiti huu umebainisha namna masuala ya dhuluma za kitabaka yanavyojitokeza katika riwaya za Mkamandume (2004) na Shetani Msalabani (1982). Waandishi wa riwaya hizi; Said A. Mohamed na Ngugi wa Thiong’o mtawalia wametuchorea ...