Search
Now showing items 1-5 of 5
Usawiri wa wahusika ka tika dafina ya Umalenga (H.M Mbega) na jiero la ndani (S.A Mohamed)
(2008)
Utafiti huu umeshughulikia swala la usawm wa wahusika katika mashairi ya
Kiswahili. Mtafiti ameyahakiki mashairi teule ya washairi .wawili kwa lengo la
kutathmini jinsi washairi hawa walivyowateua wahusika wao, aina za ...
Tathmini ya Mtalaa wa Isimu Jamii wa Shule za Upili Nchini Kenya
(Kenyatta University, 2008)
Utafiti huu umeshughulikia kutathmini mtalaa wa Isimujamii wa shule za upili nchini
Kenya. Utafiti huu ulidhamiria kutathrriini na kuimarisha mtalaa wa Isimujamii katika
lugha ya Kiswahili kama chombo cha mawasiliano kwa ...
Utohozi fonolojia wa maneno - mkopo ya dholuo kutoka kwa Kiswahili
(Kenyatta University, 2008-11)
Kazi hii inatekeleza madhumuni ya kuchambua maneno-mkopo ya Dholuo yanayotokana
na lugha ya Kiswahili. Kuwepo kwa maneno mageni yanayoshabihiana na Kiswahili
kulizua haja ya kueleza vipi Dholuo inavyoyaruhusu maneno hayo ...
Maigizo kama mbinu ya maudhui katika riwaya mbili za Ken Walibora
(Kenyatta University, 2008-04)
Utafiti huu umeshughulikia maigizo kama mbinu ya maudhui katika riwaya
mbili za Ken Walibora. Riwaya zilizoshughulikwa ni Ndoto ya Amerika,
(2001) na Kufa Kuzikana, (2003). Utafiti huu uliongozwa na nadharia mseto
za ...
Rainfall-runoff modeling of the Nyando River basin for flood mitigation
(Kenyatta University, 2008)
The study objective was to model the Nyando River basin for flood mitigation. The methods used include the rainfall-runoff relationship peak food frequency Analysis mapping of inundation river plain areas for various return ...