Ngugi, Pamela M.Y.2024-02-092024-02-0920199789966028624https://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/27619Book ChapterMatumizi ya magezeti kama chombo cha kufunzia darasani ni jambo ambalo limepokelewa na wasomi wengi. Magazeti yanaweza kuiumika kama njia moja ya kujaliza na kutimiliza masomo mbalimbali ikiwemo fasihi ya watoto. Lengo la makala hii ni kubainisha mchango wa magazeii katika kuendeleza fasihi ya watoto na vijana. Mchango huu uiabainika kua kuchambua vitanzu mbalimbali vinavyojumuishwa kaiika magazeti haya na namna vinavyochangia kaiika. kuendeleza fasihi ya watoto.otherMagazeti kama Kichocheo cha Kuendeleza Fasihi ya Watoto na Vijana: Mfano kutoka Daily Nation Na TaifaLeoBook chapter