Wafula, Richard MakhanuMue, Elizabeth Kasau2023-07-122023-07-122021Wafula, R. M., & Mue, E. K. (2021). Uchanganuzi wa Riwaya ya Kiza katika Nuru ya Said Ahmed Mohamed kwa Misingi ya Umarxi Mpya wa Kifreire.http://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/26184ArticleMakala hii inachanganua wahusika na dhana kuu zinazosawiriwa katika riwaya ya Kiza Katika Nuru (1988) ya Said Ahmed Mohamed kwa kuzingatia mihimili ya mojawapo ya mikabala ya Umarxi Mpya, mkabala wa mwanafalsafa na mwananadharia kutoka Marekani ya Kilatini, Paulo Freire. Kiini cha mkabala huu wa Umarxi Mpya ni kukosoa na kutupilia mbali mitazamo kuhusu elimu inayomnyima mwanafunzi fursa ya kujifunza kutokana na mazingira yake. Uchambuzi huu unabainisha jinsi Umarxi Mpya wa Kifreire unavyofaa kwa kuchambua riwaya ya Kiza Katika Nuru, na riwaya nyingine za Kiswahili zinazofanana nayo.otherUchanganuzi wa Riwaya ya Kiza Katika Nuru ya Said Ahmed Mohamed Kwa Misingi ya Umarxi Mpya wa KifreireArticle