Osore, MiriamMudhune, Everline2023-11-222023-11-222019Miriam Osore (2019) & Everline Mudhune, ‘Utahini wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu Nchini Kenya’, in Kiswahili katika Elimu ya Juu edited by Mohochi, E. S., Mukuthuria M., Ontieri O. J., Eldoret, Moi University Press pp 139 – 157.http://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/27177Book ChapterMakala haya yanahusu utahini wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu mbalimbali nchini Kenya. Utahini hulenga kubainisha ikiwa mwanafunzi anaweza kukumbuka aliyofundishwa darasani kwa njia ya mtihani. Hivyo basi katika kila somo, mhadhiri hutunga maswali mbalimbali ambayo yatajibiwa na mwanafunzi. Maswali husika yanaweza kulenga ufahamu, ufafanuzi, uchanganuzi, utathmini n.k.otherUtahini wa Kiswahili katika Vyuo Vikuu Nchini Kenya’, in Kiswahili katika Elimu ya JuuBook chapter