Nafasi ya Jumuia ya Afrika Mashariki katika kuendeleza Kiswahili kama Lugha ya Kimataifa’
Loading...
Date
2022
Authors
Osore, Miriam
Journal Title
Journal ISSN
Volume Title
Publisher
CHAKAMA
Abstract
Jumuia ya Afrika Mafhariki iliundwa 7967 na 7977. Mnamo mwaka 7999 ilianzifhwa upya kupitia mkataba uliotiwa fahihi na mataifa anzilifhi; Kenya, Uganda na Tanzania. Baadaye, mataifa ya Rwanda na Burundi yalijiunga mwaka wa 2007, huku Sudan ya kusini ikijiunga mwaka wa 2076. Lengo kuu la muungano huu lilikuwa kuendeleza ushirikieno wa kiuchumi, ktsiasena kijamii kati ya mataifa wanachama. Maono ya jumuia ni kwamba hatimaye, neb! wanachamazitafhirikiana katika meswele ya forodha na ushuru. kuwa na soko la pamoja, seretu moja na mwisbowe kuunda muungano wa kistesewa mataifa ya Afrika Mafhariki. Jumuia hii ina eses!zinazoendeleza majukumu yake. Kati ya esss! hizi ni Kemishen! ya Kifwahlli ya Afrika Mafhariki. Katika kikao cha 35 die baraza la mawaziri wa jumuia ya Afrika Mafhariki kilichofanyika terebe 4 Aprili 2077, Arusbe, kati ya mambo yaliyojadiliwa ni az/mio la bunge la jumuia ya Afrika Mafhariki (EALA) kuhusu kuteua Kifwahili kama mojawapo ya lugha rssmi za jumuia. Barazahili lilijadili kuhusu urekebifhaji wa sberi« ya 737 ya mkataba ulioanzifha jumuia na kuelekeza nchi wanachama kuunda sere za kitaifa za Kifwahili ili kulmsrishs matumizi yake katika nyanja zote resmi: Vile vile mataifa wanachama yanahitajika kuenzishe michakato ya kuweka sberie za kufanya Kifwahili kuwa lugha rasmi ya muungano kwa kuunda mabaraza ya kitaifa ya KifWahili pamoja na vyama vya kitaifa vya Kifwahili. Kupitia jitihada hizi, 'Kifwahili kitapata nates! katika orodha ya lugha kuu za kilimwengu. Ni katika muktadha huu ambapo makala haya yanachunguza netes! ya jumuia ya Afrika Mafhariki katika kuendeleza Kifwahili kufika ulingo wa juu wa kimataifa. Makala pia imechunguza Yatachunguzahatua zinazoweza kuzingatiwa ili kuwezesbe Kifwahili kuvuka mipaka hata zaidi na kuhesbimiws kama lingua franca ya bara la Afrika
Description
Book Chapter
Keywords
lugha ya Kimataifa, Lugha Rasrni, Lingua Franca
Citation
Osore Miriam (2022) ‘Nafasi ya Jumuia ya Afrika Mashariki katika kuendeleza Kiswahili kama Lugha ya Kimataifa’ in CHAKAMA Journal Vol. No. 1. Kandagor M. & Jilala H. (eds). ISSN: 1234-5678; e ISSN: 2971-2825. Pp 159-168.