PHD-Department of Kiswahili & African Languages
Browse by
Recent Submissions
-
Maendeleo ya kiswahili nchini Uganda katika karne ya ishirini na moja
(Kenyatta university, 2023)Utafiti huu umejitenga na tafiti zilizopo kwa kuwa, ulitathmini maendeleo ya Kiswahili nchini Uganda katika muongo wa pili wa karne ya ishirini na moja, kwa kuchunguza uhusiano katika ukuaji na ueneaji wa matumizi yake. ... -
Umahuluti wa Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi wa Riwaya Teule za Ken Walibora na Katama Mkangi
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu ulishughulikia umahuluti wa riwaya ya Kiswahili kupitia uchunguzi wa riwaya teule za Ken Walibora na Katama Mkangi. Riwaya zilizozingatiwa katika utafiti huu ni: Kufa Kuzikana (2003) na Ndoto ya Almasi (2006) ... -
Mabadiliko ya Maana za Leksia za Kiswahili: Mtazamo Linganishi wa Kikale na Kisasa
(Kenyatta University, 2020-09)The purpose of this study was to investigate semantic changes in Kiswahili lexemes by comparing the pre-20th century Swahili and the modern Swahili from selected texts. The study identified lexemes that have undergone ... -
Umahuluti wa Miundo katika Tamthilia za Ebrahim Hussein
(Kenyatta University, 2019)Utafiti huu umeshughulikia umahuluti wa miundo katika tamthilia za Ebrahim Hussein. Matumizi ya miundo anuwai katika tamthilia za Hussein ndilo suala lililochochea utafiti huu. Tamthilia zilizochanganuliwa ni tano ambazo ... -
Taswira za Ulemavu Kama Mtindo Katika Riwaya Teule za Said Ahmed Mohamed na Euphrase Kezilahabi
(Kenyatta University, 2019)Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchunguza matumizi ya taswira za ulemavu kama mtindo wa kuwasilisha maudhui katika riwaya teule za Said Ahmed Mohamed na Euphrase Kezilahabi. Riwaya hizi ni: Dunia Mti Mkavu (1980), Utengano ... -
Itikadi katika riwaya za Said Ahmed Mohamed
(Kenyatta University, 2017-01)This research evaluated the use of ideology in S. A. Mohamed’s novels to find out whether it impacts his works over a period of time. The study was informed by the fact that many critics tend to assume that the attitudes, ... -
Tathmini ya usimilisho wa riwaya na hadithi fupi kwa wanafunzi wa sekondari nchini Kenya.
(Kenyatta University, 2015)Novel and short story genres of written literature are created to be read, but not to be dramatized as is the case with the play. For a period of about fifteen years adapters have made effort to dramatize swahili prose ... -
Taathira za kiswahili na lugha nyingine kwa uthabiti wa kiisimujamii wa lugha za mama mijini Nairobi, Kiambu na Thika: mfano wa Kikuyu
(2015)Utafiti huu ni wa kiisimujamii ulioangazia suala la mtagusano wa lugha za Kikuyu, Kiswahili, Kiingereza na Sheng miongoni mwa vijana wa jamii ya Kikuyu mijini Nairobi, Kiambu na Thika. Utafiti wenyewe umejikita katika ... -
Uchanganuzi wa methali za kiswahili: mtazamo wa kiudenguzi
(Kenyatta University, 2015)Utafiti huu umezichanganua methali za Kiswahili kwa mtazamo wa kiudenguzi. Utafiti huu umefanywa ikizingatiwa kuwa maana za matini hujiahirisha kwa ambavyo hakuna matini iliyo na maana moja. Sababu kuu ya kuchagua mada ... -
Mwingilianotanzu Katika Fasihi Simulizi ya Kiafrika: Mfano wa Embalu na Mwaka Kogwa
(Kenyatta University, 2015)This study focuses on multigenerism in the performance of embalu and mwaka kogwa rituals. The research was occasioned by the need to up the fight for the rightful space and status of African languages and literatures and ... -
Umilisi wa Stadi za Maamkizi Katika Ujifunzaji wa Kiswahili
(Kenyatta University, 2015-01-22)Utafiti huu ulidhamiria kuchunguza umilisi wa stadi za maamkizi na changamoto zinazowakumba wanafunzi wa shule za upili wanapoamkuana kwa Kiswahili. Zaidi ya hayo, utafiti ulilenga kubainisha chanzo na athari za changamoto ... -
Changamoto za uchanganuzi na ufasiriwa ushairi katika shule za upili nchini Kenya
(Kenyatta University, 2014-10-10)Utafiti huu umechanganua suala la ufasiri na uelewekaji wa ushairi wa Kiswahili miongoni mwa wanafunzi wa shule za sekondari, Kenya. Ushairi ni somo la lazima shuleni na ambalo kwa muda mrefu sasa limewakanganya wanafunzi ... -
Muundo wa Njeo Katika Lugha ya Kingoni
(2013-12-17)Utafiti huu umehusika kuchunguza muundo wa njeo na halinjeo katika lugha ya Kingoni. Mofimu ya njeo na halinjeo katika vitenzi vya lugha ya Kingoni inaundwa kupitia viambishi (mofimu) na toni. Kwa hivyo, masuala matatu ... -
Uainishaji wa ushairi wa Kiswahili:Dhima ya methali
(2013-01-22)Utafiti huu umeshughulikia dhima ya methali katika kuainishia ushairi wa Kiswahili. IIi kufanikisha lengo hilo, uchanganuzi umefanywa kwa kuzingatia tungo mahususi za Said Ahmed Mohamed (2001), Kithaka wa Mberia (2001), ... -
The impact of language policy on the development of Kiswahili in Kenya, 1930-1990
(2012-05-17)Like most African countries, Kenya is linguistically dependent on the language (English) of the former colonizers for education, national, and international communication. However, Kenya has declared Kiswahili, the lingua ...

(2012-05-17)Like most African countries, Kenya is linguistically dependent on the language (English) of the former colonizers for education, national, and international communication. However, Kenya has declared Kiswahili, the lingua ... -
Usawiri wa mwanamke Muislamu katika jamii ya waswahili kama inavyobainika katika ushairi wa Kiswahili
(2012-04-10)Utafiti huu umeshughulikia usawiri wa mwanamke muislamu katika jamii ya Waswahili kama inavybainika katika kazi za washairi walioteuliwa. Lengo kuu la utafiti huu ni kuhakiki tungo za washairi walioteuliwa ... -
Ushairi wa Kiswahili: maendeleo na mabadiliko ya maudhui
(2012-01-03)Tasnifu hii imejishughulisha na uchanganuzi wa maendeleo na mabadiliko ya maudhui katika ushairi wa Kiswahili. Mazingira ya msanii pamoja na tajriba zake katika maisha huathiri kwa kiasi kikubwa namna anavyouona na kuusawiri ... -
Siting text, culture, context and pedagogy in literary translation: a theorization of translation in cultural transfer with examples from selected texts in Kiswahili
(2011-12-16)The study of literary translation in Kiswahili has over a long period of time tended to gravitate towards systematic comparisons based on minimalist classical linguistic formalism. This is a scholarly fact that is attested ... -
Taswira za kiuana katika nyimbo za tohara za wanaume miongoni mwa Waigembe
(2011-11-07)Utafiti huu ni uchunguzi wa taswira za kiuana katika nyimbo za tohara za wanaume miongoni mwa Waigembe, nchini Kenya. Utafiti umehakiki majukumu, itikadi na mahusiano ya kiuana katika jamii ya Waigembe kupitia uchunguzi ... -
Defamiliarization in the novels of Euphrase Kezilahabi and Said Ahmed Mohamed
(2011-08-15)The purpose of this study was to investigate the utility of defamiliarization techniques in selected novels of Euphrase Kezilahabi and Said Ahmed Mohamed. The novels analysed were purposefully sampled. Kezilahabi's Rosa ...