Search
Now showing items 1-1 of 1
Umahuluti wa Miundo katika Tamthilia za Ebrahim Hussein
(Kenyatta University, 2019)
Utafiti huu umeshughulikia umahuluti wa miundo katika tamthilia za Ebrahim Hussein. Matumizi ya miundo anuwai katika tamthilia za Hussein ndilo suala lililochochea utafiti huu. Tamthilia zilizochanganuliwa ni tano ambazo ...