Search
Now showing items 1-2 of 2
Umahuluti wa Miundo katika Tamthilia za Ebrahim Hussein
(Kenyatta University, 2019)
Utafiti huu umeshughulikia umahuluti wa miundo katika tamthilia za Ebrahim Hussein. Matumizi ya miundo anuwai katika tamthilia za Hussein ndilo suala lililochochea utafiti huu. Tamthilia zilizochanganuliwa ni tano ambazo ...
Taswira za Ulemavu Kama Mtindo Katika Riwaya Teule za Said Ahmed Mohamed na Euphrase Kezilahabi
(Kenyatta University, 2019)
Lengo la utafiti huu lilikuwa kuchunguza matumizi ya taswira za ulemavu kama mtindo wa kuwasilisha maudhui katika riwaya teule za Said Ahmed Mohamed na Euphrase Kezilahabi. Riwaya hizi ni: Dunia Mti Mkavu (1980), Utengano ...