Browsing PHD-Department of Kiswahili & African Languages by Title
Now showing items 11-15 of 15
-
Uainishaji wa ushairi wa Kiswahili:Dhima ya methali
(2013-01-22)Utafiti huu umeshughulikia dhima ya methali katika kuainishia ushairi wa Kiswahili. IIi kufanikisha lengo hilo, uchanganuzi umefanywa kwa kuzingatia tungo mahususi za Said Ahmed Mohamed (2001), Kithaka wa Mberia (2001), ... -
Uchanganuzi wa methali za kiswahili: mtazamo wa kiudenguzi
(Kenyatta University, 2015)Utafiti huu umezichanganua methali za Kiswahili kwa mtazamo wa kiudenguzi. Utafiti huu umefanywa ikizingatiwa kuwa maana za matini hujiahirisha kwa ambavyo hakuna matini iliyo na maana moja. Sababu kuu ya kuchagua mada ... -
Umilisi wa Stadi za Maamkizi Katika Ujifunzaji wa Kiswahili
(Kenyatta University, 2015-01-22)Utafiti huu ulidhamiria kuchunguza umilisi wa stadi za maamkizi na changamoto zinazowakumba wanafunzi wa shule za upili wanapoamkuana kwa Kiswahili. Zaidi ya hayo, utafiti ulilenga kubainisha chanzo na athari za changamoto ... -
Usawiri wa mwanamke Muislamu katika jamii ya waswahili kama inavyobainika katika ushairi wa Kiswahili
(2012-04-10)Utafiti huu umeshughulikia usawiri wa mwanamke muislamu katika jamii ya Waswahili kama inavybainika katika kazi za washairi walioteuliwa. Lengo kuu la utafiti huu ni kuhakiki tungo za washairi walioteuliwa ... -
Ushairi wa Kiswahili: maendeleo na mabadiliko ya maudhui
(2012-01-03)Tasnifu hii imejishughulisha na uchanganuzi wa maendeleo na mabadiliko ya maudhui katika ushairi wa Kiswahili. Mazingira ya msanii pamoja na tajriba zake katika maisha huathiri kwa kiasi kikubwa namna anavyouona na kuusawiri ...