MST-Department of Kiswahili and African Languages
Browse by
Recent Submissions
-
Nafasi ya Wahusika Wendawazimu Katika Riwaya Teule: Kidagaa Kimemwozea na Mkamandume
(Kenyatta University, 2022)Utafiti huu unalenga kuchunguza nafasi ya wahusika wendawazimu. Wahusika hawa ni Matuko Weye na Bilal katika riwaya za Kidagaa Kimemwozea (Walibora:2012) na Mkamandume (Mohamed:2013).Malengo ya utafiti huu lilikamilishwa ... -
Ulinganishaji wa Ujifunzaji Stadi za Kiswahili kwa Wanafunzi wenye Ulemavu wa Macho katika Shule Jumuishi katika Kaunti za Nakuru na Kisumu, Kenya.
(Kenyatta University, 2022)Mawasiliano bora hutegemea uelewa wa stadi za lugha katika lugha husika. Ujifunzaji wa stadi za lugha ni kipengele muhimu katika lugha yoyote na huhusisha kusikiliza, kusoma, kuandika na kuzungumza kwa kiwango kikubwa ili ... -
Ukiukaji wa Kanuni ya Kufuta Mabano katika Uundaji wa Nomino Ambatani za Kiswahili: Mtazamo wa Mofolojia Leksia
(Kenyatta University, 2022)Utafiti huu ulilenga kuchunguza ukiukaji wa Kanuni ya Kufuta Mabano katika uundaji wa nomino ambatani za Kiswahili. Nomino ambatani ni mofu changamano (Mgullu; 1999). Kanuni ya Kufuta Mabano huonyesha hatua zinazotumiwa ... -
Usawiri wa Mandhari katika Embe Tamu (Njogu, 2003), Siku ya Wajinga (Momanyi, 2005) na Njiapanda (Amana, 2008) an Examination of Settings in Embe Tamu (Njogu, 2003), Siku ya Wajinga (Momanyi, 2005) and Njiapanda (Amana, 2008)
(Kenyatta University, 2022)Utafiti huu ulichunguza usawiri wa mandhari katika fasihi andishi ya watoto. Mandhari yaweza kuwa mahali, wakati au muda ambao matendo ya kifasihi hufanyika. Malengo yalikuwa; kubainisha aina za mandhari yanayosawiriwa ... -
Sitiari za Kiswahili na Lubukusu: Mtazamo Linganishi
(Kenyatta University, 2022)Utafiti huu unahusu matumizi mbalimbali ya sitiari katika mazungumzo ya lugha ya Lubukusu kiulinganifu na sitiari zinavyotumika katika lugha ya Kiswahili. Kichocheo cha utafiti huu ni kuwa, japo waandishi na watafiti wa ... -
Usawiri wa Wahusika wa Kiume katika Riwaya za Kiswahili Zilizoandikwa na Wanawake
(Kenyatta University, 2022)Utafiti huu ulishughulikia usawiri wa wahusika wa kiume katika riwaya za Kiswahili zilizoandikwa na wanawake. Utafiti umechunguza kazi za waandishi wa kike wa Kenya na wa Tanzania kwa kutumia mkabala linganishi. Malengo ... -
Shughuli Elekezi ya Kusoma na Kutafakari: Athari kwa Usomaji wa Wanafunzi wa Shule za Msingi katika Kaunti ya Bungoma, Kenya
(Kenyatta University, 2022)Kusoma ni stadi ya lugha ambayo hufundishwa shuleni. Stadi hii hufundishwa kwa lengo la kuimarisha uwezo wa mwanafunzi wa kujifunza maarifa katika makala na kufaulu masomoni. Umuhimu huu unafanya kusoma kuwa stadi inayostahili ... -
Uchawi na Mazingaombwe katika Riwaya za Shaaban Robert na za Euphrase Kezilahabi
(Kenyatta University, 2022)Utafiti huu ulichunguza na kulinganisha matumizi ya uchawi na mazingaombwe kati ya vipindi viwili tofauti: kipindi cha riwaya za Kiswahili kabla ya uandishi wa usasabaadaye na kipindi cha usasabaadaye kwa kutumia riwaya ... -
Dhima ya Usimulizi Katika Uwasilishaji wa Nyimbo za Taarab
(Kenyatta University, 2022)This research aimed at investigating narration in taarab songs with the aim of identifying the role of narration aspects in presenting taarab songs. The narrative aspects that were investigated were narrative time, ... -
Athari za Matukio ya Kihistoria Katika Riwaya za Nyongo Mkalia Ini na Mafamba
(Kenyatta University, 2022-04)This research study investigated the effect of historical events on the selected two novels Nyongo Mkalia Ini (Chimerah, 1995) and Mafamba (Olali, 2008). The effects of historical events that include political, administrative, ... -
Makosa ya Kisarufi Yanayofanywa na Wanafunzi Wataita wa Shule za Msingi Wanaojifunza Kiswahili Sanifu katika Kaunti ya Taita / Taveta Nchini Kenya
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu ulilenga kuchunguza makosa ya kisarufi miongoni mwa wanafunzi Wataita wanaojifunza Kiswahili Sanifu. Utafiti uliongozwa na nadharia za Uchanganuzi Linganuzi (UL) na Uchanganuzi Makosa (UM). UL ni nadharia ya ... -
Dhuluma za Kitabaka katika Riwaya za Mkamandume na Shetani Msalabani
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu umebainisha namna masuala ya dhuluma za kitabaka yanavyojitokeza katika riwaya za Mkamandume (2004) na Shetani Msalabani (1982). Waandishi wa riwaya hizi; Said A. Mohamed na Ngugi wa Thiong’o mtawalia wametuchorea ... -
Mabadiliko ya Kihistoria katika Fonolojia ya Kiswahili: Udondoshaji wa Fonimu
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu ulichunguza mabadiliko ya kihistoria ya udondoshaji wa sauti za likwidi katika maneno ya Kiswahili. Kimsingi, silabi katika lugha huchukua mfumo wa konsonanti (K) kabla ya vokali (V) na huwakilishwa kama KV ... -
Uchunguzi wa Jinsi Masuala Ibuka Yalivyoigizwa katika Ngonjera za Kiswahili katika Tamasha za Drama za Kitaifa Nchini Kenya (2010 – 2017)
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu ulichunguza jinsi masuala ibuka yalivyoigizwa katika ngonjera za Kiswahili zilizoigizwa katika tamashaza drama za kitaifa nchini Kenya (2010 - 2017). Utafiti huu ulikuwa na malengo yafuatayo: kubainisha masuala ... -
Tathmini ya Ufundishaji na Ujifunzaji wa Somo la Imla katika Shule za Upili: Gatuzi la Trans-Nzoia, Kenya
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu ulitathmini ufundishaji na ujifunzaji wa somo la imla katika shule za upili katika Gatuzi la Trans-Nzoia. Utafiti huu ulilenga kubainisha vipengele vya stadi ya uandishi ambavyo wanafunzi hujifunza katika somo ...

(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu ulitathmini ufundishaji na ujifunzaji wa somo la imla katika shule za upili katika Gatuzi la Trans-Nzoia. Utafiti huu ulilenga kubainisha vipengele vya stadi ya uandishi ambavyo wanafunzi hujifunza katika somo ... -
Mshabaha na Tofauti Kati ya Hadithi Fupi ya Kisasa na Ngano
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu umeshughulikia mshabaha na tofauti kati ya hadithi fupi ya kisasa na ngano. Diwani zilizoshughulikiwa ni: Mwavyaji wa Roho na Hadithi Nyingine (Sanja, 2011), Kurudi Nyumbani na Hadithi Nyingine (Mbatiah, 2007) ... -
Uchanganuzi wa Usimulizi Kama Mtindo Katika Nyimbo za Bahati Bukuku
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu ulichunguza vipengele vya usimulizi katika nyimbo teule za Bahati Bukuku. Nyimbo aghalabu huwa na mbinu za kimtindo ambazo huwasilisha jinsi maudhui yalivyojitokeza katika nyimbo hizo. Uhakiki huu ulijikita ... -
Tathmini ya Hadithi Fupi Zilizowasilishwa Katika British Broadcasting Corporation: Mtazamo wa Edgar Allan Poe na Leech (1969)
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu umetathmini hadithi fupi zilizowasilishwa katika BBC kwa kuzingatia mtazamo wa Edgar Allan Poe. Katika kufanya hivyo, mtafiti amejihusisha na uhakiki wa mikusanyiko: Mapenzi ni Kikohozi (1970), Vituko Duniani ... -
Urejeleano Katika Utunzi wa Kamusi za Kiswahili: Uchanganuzi Linganishi wa Kamusi Teule za Lugha Moja
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu ulichunguza jinsi kipengele cha urejeleano kilivyoshughulikiwa katika Kamusi ya Kiswahili Sanifu Toleo la Tatu (2013), Kamusi Kuu ya Kiswahili (2015) na Kamusi Elezi ya Kiswahili (2016). Nadharia ya miundomedio ... -
Uchanganuzi wa Kimofosintaksia wa Viangami Katika Lugha ya Kiswahili
(Kenyatta University, 2021)Lengo la utafiti huu ni kushughulikia uchanganuzi wa kimofosintaksia wa viangami katika lugha ya Kiswahili. Utafiti huu ulilenga kuthihirisha kuwa kuna aina tofauti za viangami katika lugha ya Kiswahili. Viangami ni ...