Now showing items 1-4 of 4

  • Maudhui na mtindo katika nyimbo za msanii faustin munishi 

   Rajwayi, Andrew Calleb (2014-03-26)
   Tasnifu hii ilishughulikia nyimbo za msanii Faustin Munishi. Tulichambua maudhui na mtindo katika nyimbo zake. Kazi hii inajaribu kuonyesha jinsi maudhui ya nyimbo za Faustin Munishi yalivyobadilika kutokana na mpito wa ...
  • Mitindo katika nyimbo za tohara za jamii ya wakamba wa masaku tarafa ya kati 

   Wathome, Regina W. (2013-01-31)
   Utafiti huu ulifanywa ili kushughulikia mabadiliko ya kimtindo katika nyimbo za tohara za jamii ya Wakamba wa Masaku tarafa ya kati. Tasnifu hii imegawanywa katika sura tano. Sura ya kwanza imetanguliza mada ya utafiti. ...
  • Ukoloni mamboleo na utandawazi katika tamthilia teule 

   Mwirabua, Andrew Kairi (Kenyatta University, 2014)
   Utafiti huu umechunguza jinsi ukoloni mamboleo unavyodhihirika katika muktadha wa utandawazi kwa kurejelea tamthilia mbili teule: Posa za Bikisiwa (2008) ya S. A. Mohamed na K. King'ei na Sudana (2006) ya Alamin Mazrui na ...
  • Vichekesho vya Machang'i na Kihenjo: mtazamo wa sanaa ya ubwege 

   Njue, P. Mwaniki (2011-11-03)
   Utafiti huu umeshughulikia Sanaa ya Ubwege inavyodhihirika katika sanaa za Kiafrika. Hasa, utafiti huu umehusu kuwepo kwa Sanaa ya Kibwege katika futuhi ya kitashtiti ya papo kwa hapo. Katika kutekeleza lengo hilo, mtafiti ...