Now showing items 1-5 of 5

  • Maudhui ya ukimwi katika ua la faraja na kala tufaha 

   Kinara, Gladys (2012-07-05)
   Utafiti huu umechunguza jinsi riwaya za: Ua la Faraja (2005) na Kala Tufaha (2007) zilivyosawiri usemi unaokusudia kuwapa tumaini walioathiriwa na maradhi ya UKIMWI na kuonya wasio na maradhi haya dhidi ya mienendo inayoweza ...
  • Mchango wa kimaudhui wa watunzi wa kike katlka ushairi wa Kiswahili. 

   Mutiiria, Geoffrey Gitobu (Kenyatta University, 2015)
   Utafiti huu umeshughulikia swala la mchango wa kimaudhui wa watunzi wa kike katika ushairi wa Kiswahili. Mtafiti ameyahakiki mashairi teule ya washairi kadha kwa lengo la kutathmini jinsi watunzi wa kike walivyoyabaini ...
  • Ufumbuaji wa mashairi ya Kiswahili: mfano wa malenga wa Mvita na malenga wa Vumba 

   Mung'athia, Robert (2012-03-29)
   Tasnifu hii imejadili suala Ia ufumbuaji wa mashairi ya Kiswahili ikizingatia diwani za Malenga wa Mvita na Malenga wa Vumba. Mashairi kumi kutoka diwani zote mbili yaliteuliwa kwa kuzingatia mada za unyumba, lugha na ...
  • Usawiri wa maudhui ya ndoa katika ushairi wa Euphrase Kezilahabi na Kithaka Wa Mberia 

   Gicuku, Margaret (2012-02-21)
   Utafiti huu umeshughulikia usawiri wa maudhui ya ndoa kama yanavyodhihirika katika ushairi wa Kiswahili. Katika kuendeleza kazi hii, mtafiti ameteua ushairi wa Euphrase Kezilahabi; Kichomi (1974) na wa Kithaka wa Mberia ...
  • Usemezo katika nyimbo za taarab 

   Kea, Pauline (2011-12-07)
   Tasnifu hii inajadili swala la usemezo katika nyimbo za taarab. Nyimbo za Watribu kutoka pwani ya Kenya (Mombasa) na kutoka Tanzania ziliteuliwa kama kiwakilishi, kudhihirishia sifa za usemezo katika nyimbo hizi. Nadharia ...