Kamau, Hellen Wambui (2015)
Utafiti huu ulishughulikia uchunguzi wa matumizi ya vifaa vya ufundishaji wa msamiati wa Kiswahili katika shule za msingi za umma, Kaunti Ndogo ya Kisumu Mashariki, Kenya. Madhumuni aliyozingatia mtafiti katika utafiti huu ...