Kamachu, Mercy Waruguru (Kenyatta University, 2014-10-09)
Utafiti huu utashughulikia matumizi ya lugha ya kimafumbo katika riwaya za Mkangi Mafuta
(1984) na Walenisi (1995). Kutokana na udurusu wa maandishi ya wahakiki na watafiti
mbalimbali wa riwaya za Mafuta (1984) na Walenisi ...