Kairu, Winnifred Mukami (2011-12-22)
Utafiti huu umeshughulikia uhalisi na mtindo wa Ken Walibora katika vitabu vya Ndoto ya Amerika (2001), Mgomba Changaraweni (2003), na Mtu wa Mvua (2003). Utafiti huu uliongozwa na nadharia mseto ya mtindo, maadili na ...