Mwanzu, Misigo Daniel (Kenyatta University, 2021)
Utafiti huu umeshughulikia mshabaha na tofauti kati ya hadithi fupi ya kisasa na ngano. Diwani zilizoshughulikiwa ni: Mwavyaji wa Roho na Hadithi Nyingine (Sanja, 2011), Kurudi Nyumbani na Hadithi Nyingine (Mbatiah, 2007) ...