Jessee, Murithi Joseph (2012-01-31)
Katika tasnifu hii tumechunguza usemezano katika tamthilia ya Kiswahili. Tumetumia tamthilia tatu ambazo ni Mashetano, (Hussein, 1971), Kilio cha Haki, (Mazrui, 1981) na Amezidi, (mohammed 1995) kubainisha kuwa usemezano ...