James, W. S. (2011-12-02)
Utafiti huu umechunguza matumizi ya ushairi katika tamthilia ya Kiswahili. Uchunguzi umejiegemeza katika tamthilia tatu za Kiswahili: Mama ee (1987), Kilio cha Haki (1981) na Amezidi (1995).
Malengo ya tasnifu hii yalikuwa ...