Ireri, Kahara J. (2011-11-02)
Utafti huu umechunguza tamthilia ya Kiswahili kama utendi. Uchunguzi umejikita katika tamthilia mbili za Kiswahili; Kinjeketile (1969) na Mzalendo Kimathi (1975).
Malengo ya tasnifu hii yalikuwa kuchunguza jinsi utendi ...