Gathunga, John Kariuki. (Kenyatta University, 2012)
Utafiti huu ulitekelezwa kwa madhumuni ya kuchanganua na kujadili makosa ya
kisintaksia katika insha za wanafunzi wa shule za upili. Kusudi la kuchanganua makosa
lilikuwa kubainisha chanzo cha makosa husika kwa madhumuni ...