Gathenya, Elizabeth Wambui (Kenyatta University, 2018-05)
IKISIRI
Utafiti huu umechanganua mtindo na mielekeo kwa kushughulikia matumizi ya
uchimuzi na ukiushi katika riwaya teule za mwandishi Shafi Adam Shafi. Utafiti
unazingatia riwaya mbili teule za Kuli (1979) na Haini ...