Gaitho, Anthony Gitau (2011-11-14)
Madhumuni ya kazi hii ni kuchunguza jinsi ambavyo wanafunzi wa darasa la saba hutumia methali katika uandishi wao wa insha. Aidha makosa yanayojitokeza wakati methali zinapotumika yameshughulikiwa pamoja na chanzo cha ...