Dick, Augustine Musee (2011-12-02)
Utafiti huu umeshughulikia swala la upigaji marufuku na matumizi ya majazi katika riwaya teule za Kiswahili. Riwaya zilizohahakikiwa ni Mafuta (1984) na Walenisi (1995) za G.K Mkangi. Nadharia iliyoongoza utafiti huu ni ...