Browsing MST-Department of Kiswahili and African Languages by Title
Now showing items 1-20 of 241
-
Athari ya duksi katlka ufunzaji na ujifunzaji wa kiswahili: mtazamo wa uchanganuzi linganishi tasnifu
(2007)Kazi hii imekusudia kuchanganua athari ya elimu ya Duksi katika ufunzaji na ujifunzaji wa sarufi ya lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa mtazamo wa nadharia ya Uchanganuzi Linganishi. Vipengele vya kisarufi yaani abjadi, ... -
Athari ya mazingira ya kihistoria na kijamii katika uwasilishaji wa maudhui ya dhifa (E. Kezilahabi)
(Kenyatta University, 2016)Utafiti huu ulichunguza athari ya mazingira ya kihistoria na kijamii katika uwasilishaji wa maudhui ya diwani ya Dhifa ya E. Kezilahabi (2008). Malengo yalikuwa, kubainisha maudhui yaliyowasilishwa na mtunzi wa Dhifa, ... -
Athari ya mbinu rejeshi katika hadithi fupi za Kiswahili
(Kenyatta University, 2015-11)Utafiti huu ulishughulikia athari ya mbinu rejeshi katika hadithi fupi za Kiswahili. Diwani zilizoshughulikiwa ni za miaka ya elfu mbili nazo ni Mwendawazimu na Hadithi Nyingine (2000) na Kunani Merikani na Hadithi Nyingine ... -
Athari ya Utenzi Katika Uandishi wa Riwaya Teule ya Kiswahili.
(Kenyatta University, 2017-06)Utafiti huu umejikita katika kuonyesha athari ya utenzi katika uandishi wa riwaya teule ya Kiswahili. Matumizi ya utenzi katika uandishi wa riwaya ni mojawapo ya mbinu za kimtindo za uandishi. Kwa hivyo, utafiti huu umefanywa ... -
Athari za Matukio ya Kihistoria Katika Riwaya za Nyongo Mkalia Ini na Mafamba
(Kenyatta University, 2022-04)This research study investigated the effect of historical events on the selected two novels Nyongo Mkalia Ini (Chimerah, 1995) and Mafamba (Olali, 2008). The effects of historical events that include political, administrative, ... -
Athari za Sheng’ kwa Kiswahili Sanifu: Uchunguzi wa Kamusi ya Sheng’.
(Kenyatta University, 2023)Utafiti huu ulidhamiria kutathmini athari za kamusi ya Sheng’ – English Dictionary kwa Kiswahili sanifu. Kamusi ya Sheng’ –English Dictionary (2003) iliteuliwa kama msingi wa uchunguzi huu kwa sababu ndio kamusi ya kwanza ... -
Changamoto za Kimofosintaksia Miongoni Mwa Wanafunzi wa Kiswahili wa Shule za Upili Wilayani Muhanga, Nchini Rwanda
(2014-07-31)Pendekezo hili la utafiti linatarajia kuchunguza "Changamoto za kimofosintaksia miongoni mwa wanafunzi wa Kiswahili wa shule za upili wilayani Muhanga, nchini Rwanda". Katika utafiti huu, makosa ya kimofosintaksia yanayofanywa ... -
Changamoto za mikondo mipya ya utunzi wa mashairi ya kiswahili: mfano wa tunu ya ushairi
(Kenyatta University, 2015)This study investigated the challenges brought about by new stylistic perspectives in Kiswahili poetry. The main objective was to identify new stylistic perspectives in Kiswahili poetry, the settings which contributes to ... -
Chuo Kikuu cha Kenyatta Shule ya Sanaa na Sayansi za Jamii Idara ya Kiswahili Dhima za Hurafa Katika Fasihi ya Watoto
(Kenyatta University, 2019-11)This study is about the role of fables in children’s literature. Its main objectives are to evaluate the role, themes and literal devices used in fables to make them significant to children. It was a descriptive research ... -
Code switching in the contemporary Kiswahili rap song
(2012-01-03)This is a sociallinguistic study that investigates code switching in the contemporary Kiswahili rap song. It seeks to identify, interprete and explain the patterns code switching, the constraints governing these patterns ... -
A comparative study of Ekegusii, Lulogooli and Lwitakho: the phonological, lexical and morphosyntastic structures
(2012-05-17)This research project is the study of the grammatical errors in standard eight pupils’ written work in English. The specific objectives of this study were as follows: (1) To establish the types of grammatical errors in ... -
Dhima ya lugha teule katika kuwasilisha taswira ya mtoto katika jamii ya abagusii tasnifu
(Kenyatta University, 2018)Utafiti huu ulichunguza dhima ya lugha teule katika kuwasilisha taswira ya mtoto katika jamii ya Abagusii. Malengo ya utafiti huu yalikuwa kutambua lugha iliyowasilisha taswira ya mtoto na kubainisha dhima na athari zake ... -
Dhima ya Usimulizi Katika Uwasilishaji wa Nyimbo za Taarab
(Kenyatta University, 2022)This research aimed at investigating narration in taarab songs with the aim of identifying the role of narration aspects in presenting taarab songs. The narrative aspects that were investigated were narrative time, ... -
Dhima ya utawala wa nabongo mumia katika maenezi ya lugha ya kiswahili ubukusuni, Mkoani Magharibi (Kenya)
(Kenyatta University, 2009)Utafiti huu umeeleza na kuchanganua dhima ya utawala wa Nabongo Mumia katika maenezi ya lugha ya Kiswahili Ubukusuni, Magharibi mwa Kenya. Utafiti huu ulijikita katika kipindi cha utawala wa Nabongo Mumia tangu kutawazwa ... -
Dhuluma dhidi ya watoto katika riwaya za kiswahili
(2011-11-16)Utafiti huu umeshughulikia maudhui ya dhuluma dhidi ya watoto kama vanavyobainika katika riwaya teule za Kiswahili. Mtafiti amehakiki kazi teule za waandishi za riwaya zilizoandikwa na waandishi wa k ke na wa kiume. ... -
Dhuluma za Kitabaka katika Riwaya za Mkamandume na Shetani Msalabani
(Kenyatta University, 2021)Utafiti huu umebainisha namna masuala ya dhuluma za kitabaka yanavyojitokeza katika riwaya za Mkamandume (2004) na Shetani Msalabani (1982). Waandishi wa riwaya hizi; Said A. Mohamed na Ngugi wa Thiong’o mtawalia wametuchorea ... -
Dini kama chombo cha kuwadhulumu waumini: mifano kutoka fasihi katika kiswahili
(Kenyatta University, 2011-05)Utafiti huu umeshughulikia dini kama chombo cha kuwadhulumu waumini katika fasihi andishi ya Kiswahili. Vitabu vilivyoteuliwa na kutumiwa katika utafiti ni : Nitaolewa Nikipenda (1982), Masaibu ya Ndugu Jero (1974), Nguvu ... -
Factors influencing the performance of Kiswahili in K.C.P.E. in Dagoretti division, Nairobi province
(2012-02-28)The purpose of this study was to identify the factors that influence performance of Kiswahili in K.C.P.E. Research was carried out in Dagoretti Division of Nairobi Province in the sampled public primary schools. The ... -
Fani na maudhui katika mashairi ya magazeti ya taifa leo
(Kenyatta University, 2015)Utafiti huu umeshughulikia fani na maudhui katika mashairi ya magazeti ya Taifa Leo Jumamosi na Taifa Jumapili katika kipindi cha mwaka 2010-2012. Katika fasihi ya Kiswahili kila mwandishi ana njia yake ya kipekee ya ... -
Fonolojia ya utohozi wa manenomkopo ya Ekegusii kutoka Kiswahili
(2011-11-08)Ufafiti huu umechanganua taratibu za utohozi wa manenomkopo ya Ekegusii kutoka Kiswahili kwa madhumuni ya kubainisha kanuni zinazohusika. Uchanganuzi umeongozwa na mtazamo wa Fonolojia Tenganishi ambao ni mojawapo ya ...