Browsing MST-Department of Kiswahili and African Languages by Issue Date
Now showing items 1-20 of 241
-
Usawiri wa wahusika makahaba katika riwaya za Said Ahmed Mohammed
(Kenyatta University, 1990)Utafiti wetu unahusu suala la ukahaba katika riwaya nne za Said Ahmed Mohamed. Tunahakiki usawiri wa wahusika makahaba kwa madhumuni ya kubainisha sababu za kuwepo kwa ukahaba katika jamii. Aidha, tunatilii namna ambavyo ... -
Uchanganuzi wa usemi katika sajili ya dini: sifa bainifu za lugha ya mahubiri
(2001)Katika tasnifu hii, tumechunguza sifa bainifu za lugha ya mahubiri kama zinavyojitokeza katika sajili ya dini katika lugha ya Kiswahili. Tumetumia data kutokana na mahubiri mbalimbali na kuyachanganua ili kudhihirisha ... -
Mielekeo kuhusu taarifa va habari: uchunguzi katika mtaa wa Komarock jijini Nairobi.
(Kenyatta University, 2002) -
Uhalisiajabu katika riwaya ya babu alipofufuka (2001) ya S.A mohamed na bina-adamu! (2002) yA K.W Wamitila
(Kenyatta University, 2004-08)Utafiti huu umeshughulikia swala la uhalisiajabu katika riwaya teule za fasihi ya Kiswahili. Riwaya zilizohakikiwa ni Babu Alipofufuka (2001) ya S.A. Mohamed na Bina-Adamu! (2002) ya K.W. Wamitila. Nadharia iliyoongoza ... -
Hadithi fupi za kisasa za kisw ahili kama utanzu mahuluti.
(Kenyatta University, 2005) -
Uwiano wa picha na matini katika mabango ya matangazo ya ukimwi: mtazamo wa Kisemiotiki
(2006)Lengo la kazi hii ni kuchanganua uwiano wa maana za picha na matini katika mabango ya matangazo ya UKIMWI kwa kuzingatia tathmini za wapokezi. Watafitiwa ambao walishirikishwa katika utafiti huu waliteuliwa kutoka maeneo ... -
Athari ya duksi katlka ufunzaji na ujifunzaji wa kiswahili: mtazamo wa uchanganuzi linganishi tasnifu
(2007)Kazi hii imekusudia kuchanganua athari ya elimu ya Duksi katika ufunzaji na ujifunzaji wa sarufi ya lugha ya Kiswahili kwa mujibu wa mtazamo wa nadharia ya Uchanganuzi Linganishi. Vipengele vya kisarufi yaani abjadi, ... -
Usambamba katlka ushairi-huru
(2007)Utafiti huu umeshughulikia usambamba katika ushairi hum wa . Kiswahili. Lengo la utafiti huu ni kudhihirisha namna mshairi wa kisasa anavyotumia uhuru wake wa utunzi katika kujadili maswala mbalimbali yanayoikumba jamii. ... -
Matumizi ya sitiari katika vitendawili vya abanyala (k): mtazamo unganishi na vitendawiu vya waswahili
(2007)The purpose of the study is to investigate the use of metaphor in the Abanyala and Swahili riddle. The researcher was inspired by the fact that even though the writers and researchers of riddles did a lot in collecting, ... -
Usawiri wa wahusika ka tika dafina ya Umalenga (H.M Mbega) na jiero la ndani (S.A Mohamed)
(2008)Utafiti huu umeshughulikia swala la usawm wa wahusika katika mashairi ya Kiswahili. Mtafiti ameyahakiki mashairi teule ya washairi .wawili kwa lengo la kutathmini jinsi washairi hawa walivyowateua wahusika wao, aina za ... -
Tathmini ya Mtalaa wa Isimu Jamii wa Shule za Upili Nchini Kenya
(Kenyatta University, 2008)Utafiti huu umeshughulikia kutathmini mtalaa wa Isimujamii wa shule za upili nchini Kenya. Utafiti huu ulidhamiria kutathrriini na kuimarisha mtalaa wa Isimujamii katika lugha ya Kiswahili kama chombo cha mawasiliano kwa ... -
Maigizo kama mbinu ya maudhui katika riwaya mbili za Ken Walibora
(Kenyatta University, 2008-04)Utafiti huu umeshughulikia maigizo kama mbinu ya maudhui katika riwaya mbili za Ken Walibora. Riwaya zilizoshughulikwa ni Ndoto ya Amerika, (2001) na Kufa Kuzikana, (2003). Utafiti huu uliongozwa na nadharia mseto za ... -
Utohozi fonolojia wa maneno - mkopo ya dholuo kutoka kwa Kiswahili
(Kenyatta University, 2008-11)Kazi hii inatekeleza madhumuni ya kuchambua maneno-mkopo ya Dholuo yanayotokana na lugha ya Kiswahili. Kuwepo kwa maneno mageni yanayoshabihiana na Kiswahili kulizua haja ya kueleza vipi Dholuo inavyoyaruhusu maneno hayo ... -
Dhima ya utawala wa nabongo mumia katika maenezi ya lugha ya kiswahili ubukusuni, Mkoani Magharibi (Kenya)
(Kenyatta University, 2009)Utafiti huu umeeleza na kuchanganua dhima ya utawala wa Nabongo Mumia katika maenezi ya lugha ya Kiswahili Ubukusuni, Magharibi mwa Kenya. Utafiti huu ulijikita katika kipindi cha utawala wa Nabongo Mumia tangu kutawazwa ... -
Mabadiliko ya maudhuikiwakati katika nyimbo za harusi za jamii ya waembu
(2009)Malengo ya utafiti huu yalikuwa kuonyesha j insi maudhui katika nyimbo za harusi miongoni mwa watu wajamii ya Waembu yalivyobadilika kiwakati tangu kabla na baada ya maingilio ya Wakoloni. Aidha, utafiti huu umechunguza ... -
Uamilifu wa Tonisho Katika Sentensi za Kikamba
(Kenyatta University, 2009)Utafiti huu ulitekelezwa kwa madhumuni ya kuchambua na kujadili ruwaza za tonisho katika sentensi za Kikamba, ili kubainisha muundo na uamilifu katika nyanja za sintaksia na pragmatiki. Uchanganuzi ulitegemea mihimili ... -
Maono ya jamii katika tamthilia za Chacha nyaigotti chacha: swala la uongozi
(Kenyatta University, 2010) -
Mtazamo Mpya wa Usawiri wa Mwanamke katika Utendi wa Maisha ya Adamu na Hawaa na Paradise Lost
(Kenyatta University, 2011) -
Taathira ya dhamira kwa mtindo katika hadithi fupi teule za Kiswahili
(Kenyatta University, 2011-04)Katika tasnifu hii tumechunguza athari ya dhamira katika uteuzi wa mtindo katika hadithi fupi teule za Kiswahili. Tumetumia diwani one za mwaka wa 2007. Diwani hizo ni Damu Nyeusi no Hadithi Nyingine (2007), Likizo ya ...