Gatuthu, Muiga Harrison (Kenyatta University, 2021)
Mahitaji ya silabasi mpya ya Kiswahili (2006) kwa shule za upili hupendekeza ufunzaji wa mada za sauti na matamshi. Suala la matamshi ya lugha, linahusika na matawi ya fonetiki na fonolojia. Matawi ya fonetiki na fonolojia ...