Show simple item record

dc.contributor.authorNyambura, Teresiah
dc.contributor.authorGithinji, Peter
dc.date.accessioned2023-07-17T12:43:40Z
dc.date.available2023-07-17T12:43:40Z
dc.date.issued2023
dc.identifier.citationNyambura, T. & Githinji, P. (2023). Baadhi Ya Sifa Za Sauti Zoloto Zinazotumiwa Na Baadhi Ya Wahubiri Wa Kipentekosti Kuwasilisha Injili Na Umuhimu Wake East African Journal of Swahili Studies, 6(1), 68-83. https://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1166.en_US
dc.identifier.urihttps://doi.org/10.37284/jammk.6.1.1166
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/26262
dc.descriptionArticleen_US
dc.description.abstractMakala haya yalilenga kubainisha baadhi ya vigezo vinavyobainisha sauti zoloto zinazotumiwa na baadhi ya wahubiri wa Kipentekosti kama mtindo wa kuwasilisha injili. Tulilenga waumini wa madhehebu tofauti ya Kipentekosti katika eneo la Gilgil katika kaunti ya Nakuru. Tulitumia mihimili miwili ya nadharia ya “Modeli ya Mtazamo wa Wasikilizaji” (Bell, 1984, 2014). Mhimili wa kwanza unadai kuwa Mtazamo wa wasikilizaji hutumika katika viwango vyote vya lugha iwe ni lugha moja au wingi lugha kwani haiangazii tu kubadilisha mtindo wa utamkaji wa sauti, bali pia uchaguzi wa jinsi ya kutamka sauti na upole wa mazungumzo. Mhimili wa pili hudai kuwa mtindo wa matumizi ya lugha katika uzungumzaji huwa chanzo cha mabadiliko katika mahusiano ya mazungumzo. Usampulishaji wa kimaksudi ulitumika kwa sababu ya urahisi wa kupata walengwa wa makala haya. Kiasa kikubwa cha data kilitokana na kanda za sauti za mahubiri mbalimbali kutoka kwa wahubiri tofauti. Hatimaye, kanda tatu ambazo wahubiri walizolota na tatu ambazo wahubiri hawakuzolota zilitumika. Kanda za mahubiri zilichujwa kwa kutumia programu ya PRAAT ili kupata sifa za kiakustika zinazobainisha sauti zoloto. Mbinu za hojaji, mahojiano na wahubiri binafsi, uchunzaji na mahojiano na makundi legwa zilitumika katika uchanganuzi na ufasili wa data. Matokeo ya utafiti yalibainisha vigezo vikuu vitano ambavyo ni kipimo cha hezi, urefu wa mawimbi ya sauti, kiwango cha desibeli, mpumuo wa sauti, kiwango cha tambo na tofauti kati ya fomanti ya kwanza na ya pili kama baadhi ya sifa zinazobainisha sauti zoloto za wahubiri wa Kipentekosti.en_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherEANSOen_US
dc.subjectKanisa za Kipentekostien_US
dc.subjectKanisa zisizo za Kipentekostien_US
dc.subjectSauti Zolotoen_US
dc.subjectUzolotajien_US
dc.subjectWapentekostien_US
dc.subjectWasikilizajien_US
dc.titleBaadhi Ya Sifa Za Sauti Zoloto Zinazotumiwa Na Baadhi Ya Wahubiri Wa Kipentekosti Kuwasilisha Injili Na Umuhimu Wakeen_US
dc.typeArticleen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record