• English
    • français
  • français 
    • English
    • français
  • Ouvrir une session
Voir le document 
  •   Accueil de DSpace
  • Master Theses and Dissertations(MST)
  • MST-School of Humanities and Social Sciences
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • Voir le document
  •   Accueil de DSpace
  • Master Theses and Dissertations(MST)
  • MST-School of Humanities and Social Sciences
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • Voir le document
JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

Mielekeo na mtindo wa Shafi Adam Shafi katika riwaya za Kuli na Haini

Thumbnail
Voir/Ouvrir
Full text thesis (649.6Ko)
Date
2018-05
Auteur
Gathenya, Elizabeth Wambui
Metadata
Afficher la notice complète
Résumé
IKISIRI Utafiti huu umechanganua mtindo na mielekeo kwa kushughulikia matumizi ya uchimuzi na ukiushi katika riwaya teule za mwandishi Shafi Adam Shafi. Utafiti unazingatia riwaya mbili teule za Kuli (1979) na Haini (2003). Uteuzi wa riwaya hizo ulifanywa kwa kutumia mbinu kusudio kwa kuwa zilidhihirisha mtindo wa mwandishi kupitia matumizi ya uchimuzi na ukiushi ambazo zingetosheleza mahitaji ya utafiti huu. Utafiti ulizingatia matumizi ya uchimuzi na ukiushi wa maneno na maana katika riwaya husika. Aidha, mielekeo ya mwandishi ya kijamii, kiuchumi, kihistoria na kimapinduzi inajitokeza. Utafiti huu uliongozwa na nadharia changamano. Nadharia ya Uhalisia wa Kijamaa na nadharia ya Kimtindo. Mihimili ya nadharia ya Kijamaa ilifaa utafiti huu kwa kuchanganua mazingira na mielekeo ya mwandishi. Nayo mihimili ya nadharia ya Kimtindo kama alivyoeleza Leech (1969) ilitumika katika kubainisha aina za ukiushi wa uandishi wa riwaya husika. Mihimili ya nadharia ya Kimtindo ilimwongoza mtafiti katika ufasiri wa ujumbe wa riwaya teule. Matokeo ya utafiti yaliwasilishwa kwa njia ya maelezo ambapo uchanganuzi ulizingatia mielekeo ya mwandishi, uchimuzi na ukiushi wa msamiati na maana katika riwaya zote mbili.
URI
http://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/18621
Collections
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages [234]

Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
Contactez-nous | Faire parvenir un commentaire

 

 

Parcourir

Tout DSpaceCommunautés & CollectionsPar date de publicationAuteursTitresSujetsCette collectionPar date de publicationAuteursTitresSujets

Mon compte

Ouvrir une sessionS'inscrire

Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
Contactez-nous | Faire parvenir un commentaire