• English
    • français
  • English 
    • English
    • français
  • Login
View Item 
  •   Repository Home
  • Master Theses and Dissertations(MST)
  • MST-School of Humanities and Social Sciences
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • View Item
  •   Repository Home
  • Master Theses and Dissertations(MST)
  • MST-School of Humanities and Social Sciences
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • View Item
JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

Uamilishi dhima katika sentensi za luloogoli : mtazamo wa sintaksia finyizi

Thumbnail
View/Open
Full text Theses (35.59Mb)
Date
2011-12-02
Author
Asiko, Beverlyne Ambuyo
Metadata
Show full item record
Abstract
Utafiti huu unaamilisha dhima kupitia muundo na uhamisho wa katika sentensi za Luloogoli. Dhima inabainika kupitia uhusiano wa kisintaksia baina ya virai nomino na kiarifu katika sentensi moja. Dhima zilizoshughulikiwa ni Ale za kiima na shamirisho, pamoja na kanuni bia na kanuni bayana zinazotawala matumizi. Misingi ya kinadharia ya utafiti huu ni Sintaksia Finyizi kwa mujibu wa Chomsky (1995) aliporahisisha hatua changamano zaidi zilizokuwepo kwenye vijinadharia sita vya Utawala na Ufungami. Sintaksia Finyizi inatambua hatua tatu muhimu idadishi ya maneno kupitia majopo ya kisarufi muungano wa maumbo ili kuunda sentensi sanifu, na uhamisho wa vijenzi hivyo katika kugeuza muundo wa sentensi. Data ilikusanywa nyanjani na maktabani; kupitia kwa vitabu mahsusi vya Luloogoli na mazungumzo mahsusi. Mbinu ya kusampuli data kwa lengo maalum ilitumiwa ili kupata data iliyokuwa ikidhihirisha dhima mahsusi. Uhamisho wa dhima hizi umeelezwa na kudhihirishwa namna unavyotokea kwa kutumia michoro matawi, utafiti huu umeelezwa kwa sura tano. Ya kwanza inashughulikia maswala msingi na nadharia ya utafiti, ikifuatiwa na maelezo ya vijenzi vya sentensi za Luloogoli. Sura ya tatu inaangazia wazi zaidi na kubainisha dhima katika sentensi. Taratibu za uhamisho na kanuni zinazotawala uhamisho wa dhima hizi umeelezwa kwenye sura ya nne na mwisho kuna matokeo na mahitimisho ya utafiti. Suala muhimu linalojitokeza ni kuwa uhamisho hautokei to kiholela bali hutawaliwa na kanuni mahsusi. Kwa jumla, utafiti huu umependekeza kuwa sintaksia ya uhamisho ifanywe katika lugha nyinginezo ili kuendeleza uwanja huu kwa nadharia za kisasa zaidi.
URI
http://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/1845
Collections
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages [234]

Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
Contact Us | Send Feedback

 

 

Browse

All of RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

My Account

LoginRegister

Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
Contact Us | Send Feedback