• English
    • français
  • English 
    • English
    • français
  • Login
View Item 
  •   Repository Home
  • Master Theses and Dissertations(MST)
  • MST-School of Humanities and Social Sciences
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • View Item
  •   Repository Home
  • Master Theses and Dissertations(MST)
  • MST-School of Humanities and Social Sciences
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages
  • View Item
JavaScript is disabled for your browser. Some features of this site may not work without it.

Matumizi ya taswira na ukinzano kama kichocheo cha zinduko katika riwaya za G.K.Mkangi (1984) na walenisi (1995)

Thumbnail
View/Open
Full text thesis (62.27Mb)
Date
2011-11-16
Author
Musembi, Naomi N.
Metadata
Show full item record
Abstract
Utafiti huu umechunguza taswira na ukinzano kama kichocheo cha zinduko katika riwaya za Mafuta (1984) na Walenisi (1995) kwa kutumia nadharia ya uyakinifu wa kijamaa na nadharia ya kimtindo. Kazi hii imechanganua taswira za kuonekana na za hisi zilizotumiwa na Mkangi ili kubainisha maudhui ya kisiasa, kiuchumi na kijamii yaliyojikita katika taswira hizo. Mkangi alilenga kuwazindua wasomaji wake kuhusu hali halisi ya maisha yao na wakati huo huo kuwatolea suluhu la kurekebisha hali hizo. Utafiti huu una sura tano. Sura ya kwanza ni utangulizi unaojadili suala la utafiti, sababu za kuchagua mada hii, mbinu za utafiti, mapitio ya kazi muhimu na misingi ya nadharia. Sura ya pili imejadili historia ya mwandishi na mchango wa mazingira yake katika matumizi ya taswira na mbinu ya ukinzano. Pia, aina za taswira zinazopatikana katika mazingira ya mwandishi zimefafanuliwa. Sura ya tatu na nne zimechanganua taswira zinazopatikana katika riwaya za Mafuta na Walenisi. Sura ya tano ni hitimisho na matokeo ya utafiti ambamo imedhihirika kwamba, Mkangi alitumia mbinu za taswira na ukinzano akiwa na lengo la kumzindua msomaji ili cone uhalisi katika maisha yake. Kutokana na kazi hii, ni dhahiri kuwa Mkangi alilenga kumzindua msomaji kuhusu athari za utabaka, ubepari, unafiki wa viongozi sheria na nafasi yake katika jamii, umuhimu wa utu na usawa, umuhimu wa mapinduzi katika ujenzi wa jamii mpya, elimu na utafiti, chango wa vijana katika ujenzi wa taifa miongoni mwa mengine. Aidha, imetambulika kwamba, Mkangi alitumia taswira za kuonekana na za hisi kutokana na sababu kwamba, taswira hizi huiwezesa picha kuganda vizuri akilini mwa msomaji ili aupate aupate ujumbe wa mwandishi vizuri. Licha ya hayo, mbinu ya ukinzano imetumiwa kwa ufundi mkubwa i1i kulinganisha hali mbili kinyume ili kumzindua msomaji aone uhalisi katika maisha yake.
URI
http://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/1646
Collections
  • MST-Department of Kiswahili and African Languages [234]

Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
Contact Us | Send Feedback

 

 

Browse

All of RepositoryCommunities & CollectionsBy Issue DateAuthorsTitlesSubjectsThis CollectionBy Issue DateAuthorsTitlesSubjects

My Account

LoginRegister

Designed by Library ICT Team copyright © 2017 
Contact Us | Send Feedback