Now showing items 8326-8345 of 8625

  • Uamilifu wa Tonisho Katika Sentensi za Kikamba 

   Muinde, Sarah Nthenya (Kenyatta University, 2009)
   Utafiti huu ulitekelezwa kwa madhumuni ya kuchambua na kujadili ruwaza za tonisho katika sentensi za Kikamba, ili kubainisha muundo na uamilifu katika nyanja za sintaksia na pragmatiki. Uchanganuzi ulitegemea mihimili ...
  • Uamilishi dhima katika sentensi za luloogoli : mtazamo wa sintaksia finyizi 

   Asiko, Beverlyne Ambuyo (2011-12-02)
   Utafiti huu unaamilisha dhima kupitia muundo na uhamisho wa katika sentensi za Luloogoli. Dhima inabainika kupitia uhusiano wa kisintaksia baina ya virai nomino na kiarifu katika sentensi moja. Dhima zilizoshughulikiwa ni ...
  • Uarifu katika taarifa za habari : mtazamo wa isimu amilifu 

   Sichangi, Geoffrey Mukhono (2011-11-15)
   Utafiti huu umechambua matini ili kutathmini mafanikio ya uarifu katika taarifa za habari zinazosomwa kwa Kiswahili kwa madhumuni ya kuonyesha utoshelevu wa uarifu. Tumechanganua data kutoka kwenye vituo vya utangazaji vya ...
  • Ubunifu wa mtafsiri: Tamthilia ya masaibu ya ndugu jero 

   Muigai, Mary Njambi (2011-12-30)
   Utafiti huu unahusu ubunifu wa mtafsiri katika kazi za kifasihi. Lengo la utafiti huu ni kubainisha ni kwa kiasi gani ubunifu wa mtafsiri umedhihirika katika tamthilia tafsiri ya Masaibu ya Ndugu Jero. Nadharia ya ufasiri ...
  • Uchambuzi wa matini: matumizi ya lugha katika sajili ya matatu 

   Kihara, David Kung'u (2011-12-08)
   Katika tasnifu hii, tumechambua matini ili kubaini matumizi ya lugha katika sajili ya matatu kwa ujumla. Tumechanganua data kutoka vituo vikuu vya magari ya matatu na njiani abiria waliposafirishwa. Utafiti huu ulikuwa na ...
  • Uchambuzi wa matini: matumizi ya lugha ya kiswahili katika vivutio vya watalii 

   Onyango, Everline Atieno (Kenyatta University, 2016)
   Utafiti huu umehusika na uchambuzi wa matini kwa kuangalia matumizi ya lugha katika vivutio vya watalii. Utafiti huu ulichambua matini kwa kuzingatia muktadha wa mawasiliano na hivyo ulijikita katika matini za kimazungurnzo. ...
  • Uchanganuzi semantiki wa maneno mkopo ya kikamba kutoka kiswahili 

   Mumbua, David Jane (2011-11-15)
   Utafiti huu ulidhamiria kuchanganua mchakato wa kisemantiki kwa kuegemea maneno mkopo ya Kikamba kutoka Kiswahili. Uchanganuzi huu hasa ulilenga kubainisha kanuni zinazotawala taratibu mbalimbali za utohozi maana. Tafiti ...
  • Uchanganuzi wa matangazo ya biashara katika redio na televisheni: mtazamo wa kipragmatiki 

   Aloo, Salome Njeri (2012-01-31)
   Utafiti huu ni uchanganuzi wa usemi wa matangazo ya biashara kutoka vituo vya televisheni na vile vya redio. Umeshugulikia matangazo katika lugha ya Kiswahili. Malengo ya utafiti huu yalikuwa kuchunguza mbinu mbali mbali ...
  • Uchanganuzi wa nomino ambatani za kiswahili: mtazamo wa mofolojia leksia 

   Gichuru, Mutwiri Tirus (2011-07-28)
   utafiti huu umechanganua nomino ambatani za Kiswahili kwa madhumuni ya kuainisha Ill kubainisha taratibu pamoja na kanuni zinazollusika katika uundaji wa maumbo hayo. Aidha umeangaza namna vijenzi vya lllallello hayo ...
  • Uchanganuzi wa usemi katika sajili ya dini: sifa bainifu za lugha ya mahubiri 

   King'ei, Kitula Osore, Miriam (2001)
   Katika tasnifu hii, tumechunguza sifa bainifu za lugha ya mahubiri kama zinavyojitokeza katika sajili ya dini katika lugha ya Kiswahili. Tumetumia data kutokana na mahubiri mbalimbali na kuyachanganua ili kudhihirisha ...
  • Uchunguzi wa uozo katlka mashairi ya Khatib na King'ei 

   Barasa, Ayub O. (2015-12)
   Utafiti huu umeshughulikia uozo katika mashairi ya Khatib na King'ei kwa kuongozwa na nadharia ya kimtindo na maadili. Nadharia hizi zilifaa utafiti huu ikizingatiwa kwamba maudhui ya mtunzi na mtindo anaoutumia katika ...
  • Udhihirikaji wa kanuni ya dahl katika lugha ya ekegusii 

   Nyatichi, G. Makini (Kenyatta University, 2015-01)
   Utafiti huu ulidhamiria kuonyesha udhihirikaji wa kanuni ya Dahl katika viwango mbalimbali pamoja na nomino, vitenzi na maneno ya mkopo. Katika kueleza kanuni ya Dahl, utafiti uliongozwa na malengo yafuatayo: Kueleza jinsi ...
  • Ufaafu wa Maana katika Tafsiri ya Nyimbo Dini 

   Ondara, Reuben Kiyondi (Kenyatta University, 2015-02-12)
   Utafiti huu ulidhamiria kuchunguza ufaafu wa maana katika tafsiri za nyimbo dini za Kiswahili. Nyimbo kumi za watunzi watatu ziliteuliwa kama matini chasili, na tafsiri yao katika vitabu viwili, Nyimbo Standard (1897,2005) ...
  • Ufanisi katika ya pendekezo la katiba ya Kenya 

   Murungi, Grace Wanja (2012-07-24)
   This study is an analysis of the traslated version of Proposed Constitution of Kenya, 2010. The purpose of the study was to assess the quality of the translation of the Proposed Constitution. It underscores the uniqueness ...
  • Ufasili wa msamiati wa Kiimenti kwa wapokezi wa Gichuka: tathmini katika Muuga fm 

   Muchiri, Rukenya Muchuru (Kenyatta University, 2014)
   Utafiti huu umechanganua msamiati msingi wa lahaja moja ya Kimeru iitwayo Kiimenti ili kutathmini vile unavyowaarifu wasikilizaji wa lahaja nyingine ya Kimeru iitwayo Gichuka, Swala kuu la utafiti limekuwa kubainisha ...
  • Ufasiri wa ngano za kifantasia miongoni mwa watoto wa shule za msingi 

   Odhiambo, Dorothy Akinyi (Kenyatta University, 2017)
   Utafiti huu ulinuia kuchunguza ufasiri wa ngano za kifantasia miongoni mwa watoto wa darasa la tatu katika shule za msingi nchini Kenya. Lengo kuu lilikuwa kubainisha jinsi watoto wanavyofasiri maudhui, wahusika na mandhari ...
  • Ufumbuaji wa mashairi ya Kiswahili: mfano wa malenga wa Mvita na malenga wa Vumba 

   Mung'athia, Robert (2012-03-29)
   Tasnifu hii imejadili suala Ia ufumbuaji wa mashairi ya Kiswahili ikizingatia diwani za Malenga wa Mvita na Malenga wa Vumba. Mashairi kumi kutoka diwani zote mbili yaliteuliwa kwa kuzingatia mada za unyumba, lugha na ...
  • Ufundi katika riwaya za Mohammed Said Abdulla 

   Kamau, Margaret (2012-05-09)
   Tasnifu hii imejadili ufundi katika riwaya za Mohammed Said Abdulla. Kazi hii inajaribu kuonyesha ufundi alioutumia mwandishi katika kuwasilisha ujumbe wake. Sura ya kwanza ni utangulizi was utafiti wetu. Hapa ...
  • Ufundishaji na ujifunzaji wa ushairi katika shule za upili 

   Mwangi, Jacinta Wangeci (2012-01-04)
   Utafiti huu unahusu misingi ya ugumu wa ushairi wa Kiswahili katika shule za upili. Misingi hii imeelezwa na kujadiliwa kulingana na maelezo ya walimu, wanafunzi, wakuza mitaala kutoka Taasisi ya Elimu Kenya, pamoja na ...
  • Uhakiki na upokezi wa fasihi ya kiswahili ya watoto katika shule za msingi nchini Kenya 

   Karuga, Mary Njeri (2011-12-22)
   Lengo la kazi hii ni kuchambua vitabu vya fasihi ya Kiswahili vya watoto kwa misingi ya vigezo vya uteuzi wa vitabu vya watoto. Aidha,upokezi wa watoto wa vitabu hivyo ni jambo lililotiliwa maanani. Vitabu vilivyofanyiwa ...