Haule, Festo Christantus (2013-12-17)
Utafiti huu umehusika kuchunguza muundo wa njeo na halinjeo katika lugha ya
Kingoni. Mofimu ya njeo na halinjeo katika vitenzi vya lugha ya Kingoni
inaundwa kupitia viambishi (mofimu) na toni. Kwa hivyo, masuala matatu ...