Show simple item record

dc.contributor.advisorKing'ei, Kitula Osore, Miriam
dc.contributor.authorWafula, Catherine Nanjala
dc.date.accessioned2016-02-12T08:34:16Z
dc.date.available2016-02-12T08:34:16Z
dc.date.issued2015
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/14155
dc.descriptionTasnifu iliyowasilishwa katika idara ya kiswhili na lugha za Kiafrika katika Chuo Kikuu cha Kenyatta kwa minajili ya kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili, 2015en_US
dc.description.abstractMtafiti alihakiki kazi za waandishi teule wa hadithi fupi. Kazi zilizochanganuliwa ni kutokana na vitabu vinne vya hadithi fupi ambavyo ni pamoja na Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine kilichohaririwa na K.W.Wamitila(2004), Kiti cha Moyoni na Hadithi Nyingine kilichohaririwa na Ken Walibora na Said Mohamed(2007), Mwendawazimu na Hadithi Nyingine kilichohaririwa na Mwenda Mbatiah(2000) pamoja na Damu Nyeusi na Hadithi Nyingine kilichohaririwa na Ken Walibora na Said Mohamed(2007). Utafti huu unaongozwa na nadharia ya udhanaishi. Udhanaishi ni falsafa inayoshughulikia masuala kuhusu maisha. Ni mtazamo unaokagua .kwa upembuzi hali na nafsi ya mtu katika ulimwengu anaoishi. Pia ni falsafa inayozungurnzia uhusiano uliopo kati ya mtu na Mungu na iwapo mtu anapaswa kuamini kuwepo kwa Mungu. Nadharia hii hujaribu kueleza uhuru wa mtu binafsi, uwezo wa mtu kujifikiria na kujiamulia ni wajibu wa binadamu katika ulimwengu. Kupitia nadharia hii ni dhahiri kwamba jinsia ya kike na kiurne wanaathiriwa pakubwa na utamaduni huu hasi. Rata hivyo kuna matumaini ikiwa binadamu mwenyewe atajinasua katika mtego huu kwa kuzielewa na kuzipigania haki zake.en_US
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.language.isoenen_US
dc.publisherKenyatta Universityen_US
dc.titleMgongano wa tamaduni katika hadithi fupi za kiswahilien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record