RP-Department of Kiswahili and African Languages
Browse by
Recent Submissions
-
Itikadi za Kiuana Katika Methali za Kinyankole na Kiswahili
(Kenyatta University, 2023)Utafiti huu umechunguza itikadi za kiuana katika methali za Kinyankole na Kiswahili. Utafiti umedhamiria kubainisha itikadi za kiuana na vile zinavyoendeleza mahusiano ya kiuana kwa ukubalifu na ushawishi kati ya wanaume ... -
Usawiri wa Masuala Ibuka Katika Fasihi ya Watoto: Mifano Kutoka Kenya
(chuo kikuu cha dar es salamu, 2016)Fasihi ni zao la wakati katika jamii; jinsi jamii inavyobadilika ndivyo fasihi inavobadilika ili iweze kuyamulika masuala mapya yanayoibuka katika jamii husika kama vile, haki za binadamu, usawa katika jamii, madawa ya ... -
Sifa za Kimuundo Katika Diwani Huru ya Rangi ya Anga
(East African Journal of Swahili Studies, 2020)Makala hii inalenga kuchambua na kutathmini sifa za kimuundo katika diwani huru ya Rangi ya Anga. Sifa za kimuundo ni muhimu katika kuudhibiti usomaji wa mashairi teule na kumwelekeza msomaji katika kuuelewa ushairi. ... -
Mbinu Ya Ubunilizi wa Kisayansi Katika Riwaya: Bina-Adamu (K. W. Wamitila) na Babu Alipofufuka (S. A. Mohamed)
(International Academic Journal of Social Sciences and Education (IAJSSE), 2018-11)Utafiti huu ulihusu mbinu ya Ubunilizi wa Kisayansi katika mtindo wa riwaya teule za Bina Adamu K. W. Wamitila (2002) na ile ya Babu Alipofufuka ya S.A. Mohamed (2001). Utafiti huu hivyo basi umeonyesha kwamba sayansi ... -
Uhusiano kati ya Asasi ya Familia na Uongozi wa Jamii katika Riwaya za Kiswahili Dunia Yao (Mohamed 2006) na Kidagaa Kimemwozea (Walibora 2012)
(Eastern Africa Journal of Contemporary Research (EAJCR), 2019)Asasi ya familia ndio msingi wa kila jamii. Uongozi wa familia kwa hivyo huweza kupiga mwangwi uongozi wa jamii nzima. Huku ni kusema kuwa kuna uhusiano mkubwa kati ya namna familia zinavyoongozwa na uongozi wa jamii pana. ... -
Itikadi Katika Riwaya za Dunia Yao (2006) na Mhanga Nafsi Yangu (2013) za S. A. Mohamed
(2013)Makala hii inanuia kuonesha kuwa itikadi ni dhana badilifu na nyumbufu kulingana na maendeleo ya kijamii, kiuchumi, kisiasa na kiteknolojia. Itikadi ndiyo huelekeza misimamo, mielekeo na imani ya mtunzi na hivyo kuathiri ... -
Ushairi wa Abdilatif Abdalla katika Kubainisha Utamaduni wa Waswahili
(Journal of Linguistics and Language in Education, 2018)Makala haya yanafafanua maudhui yaliyomo katika tungo za mashairi ya Abdilatif Abdalla kwa kuzingatia namna masuala ya utamaduni waWaswahili yanavyowasilishwa. Masuala hayo yanahusu namna wenyeji hao wanavyotangamana ... -
Kutathmini Mafunzo Tafsiri katika Matini za Kidini: Mfano wa Njia Salama
(EANSO, 2023)Tafsiri imekuwa njia ya kuhamisha maarifa na ujumbe kutoka lugha moja hadi nyingine kwa muda mrefu lakini imetambuliwa kama taaluma ya kiusomi siyo miaka mingi iliyopita (Munday, 2001). Tafsiri zilizopo zimefanywa ... -
Baadhi Ya Sifa Za Sauti Zoloto Zinazotumiwa Na Baadhi Ya Wahubiri Wa Kipentekosti Kuwasilisha Injili Na Umuhimu Wake
(EANSO, 2023)Makala haya yalilenga kubainisha baadhi ya vigezo vinavyobainisha sauti zoloto zinazotumiwa na baadhi ya wahubiri wa Kipentekosti kama mtindo wa kuwasilisha injili. Tulilenga waumini wa madhehebu tofauti ya Kipentekosti katika ... -
Maongezi Katika Riwaya za Kiswahili
(EAST AFRICAN NATURE & SCIENCE ORGANIZATION, 2022)Makala hii inaangazia dhima ya maongezi katika riwaya ya Kiswahili. Riwaya ni mojawapo wa tanzu muhimu za fasihi ya Kiswahili ambayo inaendelea kukua kwa upande wa wahusika, dhamira, maudhui, mtindo na upeo. Utanzu wa ... -
Athari ya Mazingira Asilia ya Mtunzi katika Matumizi ya Kujibadilisha Kimazingaombwe: Uchunguzi wa Riwaya Teule za S. Robert na E. Kezilahabi
(AJOL, 2022-08)Makala haya yalikusudia kuchunguza athari ya mazingira asilia ya mtunzi katika matumizi ya kujibadilisha kimazingaombwe. Ili kulifikia lengo hilo, makala yameangazia jinsi mazingira asilia ya watunzi wawili yaani, ... -
Dhima Ya Usimulizi Katika Uwasilishaji Wa Nyimbo Za Taarab: Uchunguzi Wa Kipengele Cha Wakati
(EAST AFRICAN NATURE & SCIENCE ORGANIZATION, 2022)Taarab ni aina ya nyimbo yenye asili katika Pwani ya Afrika Mashariki. Nyimbo hizi kama zilivyo nyimbo zingine, ni zao la shughuli na hisia za binadamu. Hivyo, ujumbe katika nyimbo hizo hujikita katika miktadha mbalimbali ... -
Mchango wa Tanzu za Kimaigizo za Fasihi Simulizi Katika Umahuluti wa Riwaya ya Kiswahili: Uchunguzi wa Riwaya ya Kufa Kuzikana
(The East African Nature and Science Organization, 2021)Usomaji wa fasihi katika kipindi cha sasa unabainisha idadi kubwa ya waandishi kutoka jamii zisizo Waswahili ambao wameandika kazi katika tanzu mahsusi za fasihi simulizi ya Kiswahili. Waandishi hawa ... -
Leading an Academic Staff Union as a Middle-Level Academic (2003–2013)
(JSTOR, 2020)This article examines the emergence of the author as a leader of the Universities Academic Staff Union at a university in East Africa. Using the role, resource and constraint-based theories as well as autoethnography, ... -
Uchanganuzi wa Riwaya ya Kiza Katika Nuru ya Said Ahmed Mohamed Kwa Misingi ya Umarxi Mpya wa Kifreire
(Qucosa, 2021)Makala hii inachanganua wahusika na dhana kuu zinazosawiriwa katika riwaya ya Kiza Katika Nuru (1988) ya Said Ahmed Mohamed kwa kuzingatia mihimili ya mojawapo ya mikabala ya Umarxi Mpya, mkabala wa mwanafalsafa na ...

(Qucosa, 2021)Makala hii inachanganua wahusika na dhana kuu zinazosawiriwa katika riwaya ya Kiza Katika Nuru (1988) ya Said Ahmed Mohamed kwa kuzingatia mihimili ya mojawapo ya mikabala ya Umarxi Mpya, mkabala wa mwanafalsafa na ... -
Mchango wa Kiswahili katika Mofofonolojia ya Nominomkopo za Lubukusu
(EANSO, 2023-04-06)Ukopaji wa leksimu baina ya lugha tofauti ni jambo ambalo haliwezi kuepukika. Kwa hivyo, makala haya yamechunguza jinsi lugha ya Kiswahili imechangia katika upanuzi wa Lubukusu kimofofonolojia kupitia ukopaji wa nomino. ... -
Strategies for Identifying Sheng: What counts as Sheng?
(University of the Western Cape South Africa, 2022)The purpose of this paper is to look at different characteristics of Sheng that distinguishes it from other linguistics codes and specifically Standard Swahili. A loose application of the markedness theory will be used to ... -
Usilimishaji wa Vielelezo Katika Fasihi ya Watoto: Mfano Kutoka Wasifu wa Mwana Kupona (2008) na Alisi Ndani ya Nchi ya Ajabu (2015)
(Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, 2021)Makala hii inachunguza usilimishaji1 wa vielelezo vilivyotumika katika hadithi ya Wasifu wa Mwana Kupona (King‟ei, 2008) na Alisi Ndani ya Nchi ya Ajabu (Hadjavayanis, 2015) na mchango wake katika kuendeleza ujumbe. Tafiti ... -
Uchanganuzi wa Miundo ya Aristotle Katika Tamthilia ya Kinjeketile
(Chuo Kikuu Cha Dar es salaam, 2021)Makala haya yanalenga kuweka wazi miundo ya Aristotle katika tamthilia ya Kinjeketile (1969). Kinjeketile ni tamthilia ya Kiswahili ambayo iliandikwa mwishoni mwa miaka ya 1960 wakati ambapo maigizo mengi yalichukua ... -
Utomilisi wa Lugha Kama Chanzo cha Ubadilishanaji Msimbo Miongoni mwa Wanafunzi wa Chuo Kikuu Katika Kaunti ya Kiambu
(East African Nature and Science Organization, 2022)Utafiti huu ulichunguza swala la kubadili msimbo miongoni mwa wanafunzi wa vyuo vikuu Kaunti ya Kiambu. Fikra kuu iliyoongoza utafiti huu ni kuwa wanafunzi hao hubadili msimbo kwa sababu ya utomilisi wa lugha. Hawana umilisi ...