Show simple item record

dc.contributor.authorOmbuna, Onsarigo Victor
dc.date.accessioned2015-03-10T08:20:25Z
dc.date.available2015-03-10T08:20:25Z
dc.date.issued2014
dc.identifier.urihttp://ir-library.ku.ac.ke/handle/123456789/12352
dc.descriptionShahada ya Azamili , Idara ya Kiswahili na Lugha za Kiasili.2014en_US
dc.description.abstractValensi ya kitenzi katika kishazi cha Kiswahili ni kazi inayowasilisha uchanganuzi wa vishazi hum vya Kiswahili kwa madhumuni ya kubainisha jinsi kitenzi cha Kiswahili _ kinavyodhihirisha valensi. Dhana ya valensi imefafanuliwa katika kazi hii kama uwezo wa kitenzi kudhibiti idadi fulani ya dhima za kisintaksia na kisemantiki katika muundo wa kishazi hum. Data iliyotumika katika utafiti wa sasa ilizalishwa na watafitiwa sita waliowasilishiwa vitenzi sita kwa kila mmoja ili wavitungie vishazi huru. Vitenzi viliteuliwa kupitia mbinu bahatishi mfumo kutoka kwa kamusi ya Kiswahili Sanifu ya Oxford. Uchanganuzi wa data uliojikita katika mihimili ya Sintaksia Finyizi ulifanywa kwa madhumuni ya kubainisha muundo wa valensi ya kitenzi katika kishazi huru cha Kiswahili. Inabainishwa kuwa kitenzi cha Kiswahili hudhihirsha muundo wa valensi ya dhima kapa, dhima moja, dhima mbili na dhima tatu. Ingawa -inasemekana kuwa kitenzi ___ sielekezi hakidhibiti.dhima ya yambwa, data ya utafitihuu inadhihirisha kuwa baadhi ya - - vitenzi sielekezi huweza kudhibiti dhima mbili ikiwemo yambwa katika mazingira ya kisintaksia ambapo kishazi kimefanyiwa uchomozi kamili. Uchomozi wa kishazi pia unabainika katika vishazi vilivyoundwa kwa vitenzi elekezi ambapo muundo wa valensi ya dhima tatu unazalishwa. Utafitihuu pia unadhihirisha kuwa kipatanishi cha kiima ni kijenzi cha lazima katika ubainishaji wa valensi ya kitenzi cha Kiswahili huku matumizi ya kipatanishi yambwa yakitegemea vigezo mbalimbali kama vile mahitaji ya kimawasiliano ya kuwa na .umahsusi sawia na sifa za kisemantiki za yambwa. Kando .na - - muundo wa valensi, tasnifu hii pia inawasilisha mabadiliko katika muundo wa valensi ya kitenzi=katika kishazi chaKiswahili, Inabainika -kuwamabadilikG katika muundo wa - valensi ya kitenzi katika kishazi cha Kiswahili yanatokana na michakato mbalimbali ya kimofosintaksia.en_US
dc.description.abstractVERBAL VALENCY IN THE KISWAHILI INDEPENDENT CLAUSE This study examines the valency structure of Kiswahili verbs within the Kiswahili independent clause. Verbal valency is herein defined as the inherent ability of a verb to govern a specific number of arguments of a particular type within the structure of an independent clause. Data used in this study was generated by six respondents who were each presented with six different verbs from which they generated the independent clauses used in this study. Verbs presented to the respondents for the purpose of generating data for the current study were selected via a stratified random process from the Kiswahili Oxford Dictionary. Data was analyzed within the Minimalist theoretical framework with the aim of establishing the valency structures of Kiswahili verbs. The study reveals that the basic Kiswahili verb manifests different valency structures dependent on their .syntactic environment. _The avalent, monovalent, divalent, and.; tetravalent structures are all evident in this study. Whilst it could be argued that intransitive verbs do not take direct objects, the data used in this study shows some of the intransitive verbs taking a direct object in the extended intransitive clause. Extended clauses are also noted in a few transitive clauses.Tn such extended transitive clauses, the verb appears to govern a second object in their basic forms so that its valency structure becomes tetravalent. The study also shows that while subject markers are an integral element in the description of verbal valency in Kiswahili, the -use of object markers .depend on certain communicative requirements such as the need for specificity and the semantic properties of objects. Finaly, the QJrrept "studypresentsen analysis 'en change in valency structures of Kiswahili verbs and herein concludes that change In valency structures ofKiswahili verbs is as a result of mophorsyntactic processes.
dc.description.sponsorshipKenyatta Universityen_US
dc.language.isoenen_US
dc.titleValensi ya kitenzi katika kishazi cha kiswahilien_US
dc.typeThesisen_US


Files in this item

Thumbnail

This item appears in the following Collection(s)

Show simple item record