MST-Department of Kiswahili and African Languages
Browse by
Recent Submissions
-
Mtindo katika hadithi fupi ya kisasa ya kiswahili shule ya fani na sayansi za jamii
(Kenyatta University, 2016-05)Utafiti huu ulishughulikia Mtindo katika hadithi fupi ya kisasa ya Kiswahili.Tumetumia diwani mbili za hadithi fupi .Diwani hizi ni Pendo la Heba(1996)na Mayai Waziri wa Maradhi na Hadithi Nyingine(2004). Pia tulibainisha ... -
Usomaji na Ufasiri Sasa wa Utenzi wa Mwanakupona
(Kenyatta University, 2017-06)Utafiti huu ulichunguza usomaji na ufasiri sasa wa Utenzi wa Mwana Kupona sasa. Uchunguzi huu uliongozwa na malengo, maswali ya utafiti, pengo la utafiti na mihimili ya nadharia. Malengo ya utafiti huu yalikuwa: kubainisha ... -
Usawiri wa Uovu Katika Riwaya Teule za Ben R. Mtobwa
(Kenyatta University, 2016)Utafiti huu umelenga kuelezea uovu katika jamii kama unavyosawiriwa na Ben R. Mtobwa. Maswala yanayotendeka ni nyeti na ibuka katika jamii ya sasa. Riwaya ambazo zimeshughulikiwa ni Salamu Kutoka Kuzimu (1984) na Tutarudi ... -
Pragmatiki ya Kihisishi cha Kiswahili
(Kenyatta University, 2017-04)Utafiti huu ulilenga kuchanganua Pragmatiki ya Kihisishi cha Kiswahili kwa madhumuni ya kubainisha maumbo na matumizi ya kihisishi cha Kiswahili. Kihisishi hutumika katika mawasiliano ya kila siku ya watu kuonyesha hisia ... -
Changamoto za mikondo mipya ya utunzi wa mashairi ya kiswahili: mfano wa tunu ya ushairi
(Kenyatta University, 2015)This study investigated the challenges brought about by new stylistic perspectives in Kiswahili poetry. The main objective was to identify new stylistic perspectives in Kiswahili poetry, the settings which contributes to ... -
Tasnifu hii imetolewa ill kutosheleza baadhi ya mahitaji ya shahada ya uzamili katika chuo kikuu cha Kenyatta
(2012)Utafiti huu ulilenga kutambua na kubainisha sifa zinazoifanya lugha ya mikahawani- Eastlands kuwa na upekee fulani. Hizi ni sifa ambazo zimekita hadi kiwango cha kuifanya lugha hii ielekee kuwa namna ya sajili ya mikahawa ... -
Tasifida katika jamii ya Abagusti: Mtazamo wa isimujamii
(2013-07)Utafiti huu umechanganua matumizi ya tasifida katika jamii ya Abagusii kwa madhumuni ya kuwahamasisba wanajamii kubusu matumizi ya lugha ya adabu na heshima dhidi ya lugha isiyostahili wakati wanapowasiliana. Matumizi ... -
Matumizi ya majadiliano ya vikundi katikakufunzia stadi ya kuzungumza katika shule za upili katikatarafa ya Mosocho, Kaunti Ya Kisii, Kenya.
(Kenyatta University, 2017-06)Utafiti huu ulichunguza ufaafu wa matumizi ya mbinu majadiliano ya vikundi katika ufundishaji wa stadi ya kuzungumza miongoni mwa wanafunzi wa shule za upili katika tarafa ya Mosocho, Kaunti ya Kisii, nchini Kenya. Swala ... -
Uhalisiajabu katika riwaya ya babu alipofufuka (2001) ya S.A mohamed na bina-adamu! (2002) yA K.W Wamitila
(Kenyatta University, 2004-08)Utafiti huu umeshughulikia swala la uhalisiajabu katika riwaya teule za fasihi ya Kiswahili. Riwaya zilizohakikiwa ni Babu Alipofufuka (2001) ya S.A. Mohamed na Bina-Adamu! (2002) ya K.W. Wamitila. Nadharia iliyoongoza ... -
Tathmini ya Uwasilishaji na Upokezi wa Taarifa za Hadari za Kiswahili Katika Tovuti ya Swahilihub
(Kenyatta University, 2016) -
Matumizi ya jazanda katika tamthilia tatu za Timothy Arege
(Kenyatta University, 2013)Utafiti huu umeshughulikia matumizi ya jazanda katika tamthilia za Chamchela ( 2007) , Mstahikiki Meya (2009) na Kijiba cha Mayo (2009) ambazo zimeandikwa na Timothy Arege. Utafiti huu umeongozwa na nadharia ya kimtindo. ... -
Taathira ya dhamira kwa mtindo katika hadithi fupi teule za Kiswahili
(Kenyatta University, 2011-04)Katika tasnifu hii tumechunguza athari ya dhamira katika uteuzi wa mtindo katika hadithi fupi teule za Kiswahili. Tumetumia diwani one za mwaka wa 2007. Diwani hizo ni Damu Nyeusi no Hadithi Nyingine (2007), Likizo ya ... -
Athari ya mazingira ya kihistoria na kijamii katika uwasilishaji wa maudhui ya dhifa (E. Kezilahabi)
(Kenyatta University, 2016)Utafiti huu ulichunguza athari ya mazingira ya kihistoria na kijamii katika uwasilishaji wa maudhui ya diwani ya Dhifa ya E. Kezilahabi (2008). Malengo yalikuwa, kubainisha maudhui yaliyowasilishwa na mtunzi wa Dhifa, ... -
Makosa ya Kisintaksia Katika Uandishi wa Insha za Kiswahili za Wanafunzi wa Shule za Upili.
(Kenyatta University, 2012)Utafiti huu ulitekelezwa kwa madhumuni ya kuchanganua na kujadili makosa ya kisintaksia katika insha za wanafunzi wa shule za upili. Kusudi la kuchanganua makosa lilikuwa kubainisha chanzo cha makosa husika kwa madhumuni ...

(Kenyatta University, 2012)Utafiti huu ulitekelezwa kwa madhumuni ya kuchanganua na kujadili makosa ya kisintaksia katika insha za wanafunzi wa shule za upili. Kusudi la kuchanganua makosa lilikuwa kubainisha chanzo cha makosa husika kwa madhumuni ... -
Umilisi na utendaji: tathmini ya changamoto na uimarikaji wa kiswahili katika baadhi ya shule za upili, Eneo la Nyanza
(Kenyatta University, 2016-04)This study seeks to establish students competence and performance in Kiswahili in selected secondary schools in Nyanza Province (Lake Region) and analyse the reasons for the starling improvement of performance in Kiswahili ... -
Ukiushi katika tafsiri ya mashairi ya kiingereza: mfano wa when the bullets begin to flower na risasi zianzapo kuchanua
(Kenyatta University, 2016)Utafiti huu ulidhamiria kubainisha ukiushi katika mashairi yaliyotafsiriwa katika Kiswahili kwa kushughulikia When the Bullets Begin to Flower na Risasi Zianzapo Kuchanua. Aidha, utafiti huu ulilenga kubainisha changamoto ... -
Uhuru wa kishairi katika utunzi wa mashairi: uchanganuzi wa sikate tamaa na miale ya uzalendo
(Kenyatta University, 2016-05)Utafiti huu ulishughulikia matumizi ya uhuru wa kishairi katika utunzi wa mashairi: uchanganuzi wa Miale ya Uzalendo na Sikate tamaa. Utafiti huu ulifanywa kwa lengo la kuwasaidia wasomaji wakiwemo walirnu na wanafunzi ... -
Matumizi ya sitiari katlka tamthilia za klvuli kinaishi na kitumbua kimeingia mchanga
(Kenyatta University, 2016-04)This research aimed at analysing the Use of Metaphor in Kivuli Kinaishi na Kitumbua Kimeingia Mchanga. A metaphor is a term or phrase applied to something to which it is not literally applicable in order to suggest a ... -
Matumizi ya mbinu za ufupishaji katika mitandao ya kijamii na atharl zake katika lugha ya Kiswahili
(Kenyatta University, 2016-04)Utafiti huu umeshughulikia suala la matumizi ya mbinu za ufupishaji katika mitandao ya kijamii na athari zake katika lugha ya Kiswahili. Lengo kuu la utafiti huu ni kubainisha mbinu mbalimbali zinazotumika katika kufupisha ...